Kila akiingia madarakani anaingia na watu wake wa kula nao,sema utawala huu ni wa kibabe ndiyo maana mambo hayaongelewi. Hata wewe ukiingia utaingia na watu wako,zingine hizi ni siasa tu.