GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,645 Reaction score 10,867 Jun 4, 2025 #1 Siwafahamu wahanga, lakini baada ya kusikiliza mathila yaliyowapata, nimejikuta nalengwalengwa na machozi! Kama mimi mwanaume, tena nisiye na ukaribu wowote na wahanga nimeumia hivi, watu wao wa karibu wapo katika hali gani? Wazazi wao wanateseka kwa kiasi gani? Fikiri jinsi wenzi wao wanavyolia! Ona jinsi watu wao wa karibu wanavyoumia! Hivi watawala hawaguswi na mapito magumu wanayowapitisha watu wasio na hatia? Baadhi ya watu wamegeuka kuwa katili kuzidi wanyama? Au yale aliyoyasema Rais Peter Botha wa Afrika Kusini yanatimia Tanzania? Your browser is not able to display this video.
Siwafahamu wahanga, lakini baada ya kusikiliza mathila yaliyowapata, nimejikuta nalengwalengwa na machozi! Kama mimi mwanaume, tena nisiye na ukaribu wowote na wahanga nimeumia hivi, watu wao wa karibu wapo katika hali gani? Wazazi wao wanateseka kwa kiasi gani? Fikiri jinsi wenzi wao wanavyolia! Ona jinsi watu wao wa karibu wanavyoumia! Hivi watawala hawaguswi na mapito magumu wanayowapitisha watu wasio na hatia? Baadhi ya watu wamegeuka kuwa katili kuzidi wanyama? Au yale aliyoyasema Rais Peter Botha wa Afrika Kusini yanatimia Tanzania? Your browser is not able to display this video.
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,779 Reaction score 31,293 Jun 4, 2025 #2 Mungu yupo, hujibu kwa majira yake.
raiswenu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2018 Posts 1,026 Reaction score 1,785 Jun 4, 2025 #3 Mwenyezi Mungu atajibu, kwa hakika bila shaka atajibu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,951 Reaction score 1,252,170 Jun 4, 2025 #4 Hatari sana
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,465 Reaction score 132,873 Jun 4, 2025 #5 Inasikitisha sana
R RESILIENT KATO JF-Expert Member Joined Aug 21, 2024 Posts 4,390 Reaction score 8,589 Jun 4, 2025 #6 Hatuna njia nyingine za kisheria za kumuondolea uhalali asietakiwa kugombea!ni kumchafua tu Kwa mambo kama haya!! Inasikitisha!! KAZI na utu ,tunasongambeke!
Hatuna njia nyingine za kisheria za kumuondolea uhalali asietakiwa kugombea!ni kumchafua tu Kwa mambo kama haya!! Inasikitisha!! KAZI na utu ,tunasongambeke!