Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,977
Kumbuka mtu anavaa Mavazi anayoyoyaona yeye kwenye UBONGO wake yanamfurahisha na kumpendeza na sio kuwafurahisha au kuwapendezesha wengine.Na ikiwezekana wakamatwe
Wew unajijua juu mpana kama kabati hlf vitraco kama fundi gereji
au sawa traco lipo ila sasa halieleweki ni kama limegawanyikagawanyika kama boflo
na viguu vyako kama chelewa za fagio unatukwaza
mambo mengine wadada tunakatana stimu
Hii sio pasono wakuu kwanza sipo seriaz
mei mosi njema wakuu
Eeh ulizan machacheDunia ina mengi
mkuu tutakushtaki[emoji1]Mwaka wa kufosi huuu....tutavaa mtake msitake mpk mzoee macho yaone tutrako kama matrakooo...
[emoji1][emoji1]Maelezo yamejitosheleza ila bila picha ni kama soga za gahwa tu