Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,355 Jun 3, 2011 #1 Yan wameamua kuuza sura tu kwenye hii EATV, kipindi chao hakina maana, hakina ujumbe wala hakifurahishi. Yan kila mtu analalamika hawa watu kupewa mda wa kupotezea watu kwenye hii tv kipenz kwa vijana.
Yan wameamua kuuza sura tu kwenye hii EATV, kipindi chao hakina maana, hakina ujumbe wala hakifurahishi. Yan kila mtu analalamika hawa watu kupewa mda wa kupotezea watu kwenye hii tv kipenz kwa vijana.