Hawa Vodacom wamepatwa na nini?

Hawa Vodacom wamepatwa na nini?

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
3,517
Reaction score
3,138
Ni siku ya pili sasa nashindwa kupiga simu na internet ndio majanga kabsa

Nimeamua kuhamia Halotel hapa ndio inatiririka tu
 
Mbona hapa natumia Halotel inapga kazi fresh tu, halaf sio mimi karibia kila mtu hapa ana tatizo hilo

hapo wapi........?.....mimi mbona natumia bila tatizo lolote........
 
Voda wamebweteka,haloteli ndio habari ya mujini
 
Wameweka fb bure lakin eti tusome status tu picha kuangalia mpaka uwe na mb sasa ndo nn voda badiliken bana
 
Yaani Halotel nao wameanza upuuzi.wameanza kukata bando bila sababu.
 
Vodacom ni majambazi aiseee.yaaan sijawahi kuona
 
Vodacom c wameuza hisa zao,ngoja wachangiwe ili waboreshe vizuri mitambo yao
 
Back
Top Bottom