Hawa USA yani sehemu aliyolala Kamala Wamefunga njia

Adil_101

Senior Member
Jul 26, 2022
110
339
Hiki ndio nilichokutana nacho leo katika pitapita zangu.

Parking ambazo ziko karibu na Hotel aliyolala wamezifunga.

Ma police kibao wamesambaaa mjini, hapo imebidi niache kurecord wasije leta kashi kashi.

Maana hawachelewi kukuweka pembeni then wakaanza kukagua.

Maana wanaweza taka simu + kuona vitu vyako personal + kula muda.
 
Nilijaribu kuchungulia pale alipofikia kuna mijibwa ya kimarekani inanusa waingiaji na magari..

Yani gari inakaguliwa mpaka oil unayotumia na mafuta uliyoweka..

Sema hawa jamaa kwenye ulinzi wako next level aisee.

IMG_20230331_203518.jpg
 
Nilijaribu kuchungulia pale alipofikia kuna mijibwa ya kimarekani inanusa waingiaji na magari...
Bora hata alivyofika juzi usiku kidogo raia barabarani wamepungua..

Anyway kama unakuwa unaenda city centre maeneo yaliyoko karibu na Hotel aliyolala VP wa USA [Hyatty Regency] jiandae kisaikolojia kuhusu parking na foleni..

Njia za karibu na parking za karibu leo zote zina utepe wa police.

IMG_20230331_203044.jpg
 
Bora hata alivyofika juzi usiku kidogo raia barabarani wamepungua..
.
Anyway kama unakuwa unaenda city centre maeneo yaliyoko karibu na Hotel aliyolala VP wa USA [Hyatty Regency] jiandae kisaikolojia kuhusu parking na foleni..
.
Njia za karibu na parking za karibu leo zote zina utepe wa police...View attachment 2572380
JF kama myuUSA kaja mambo yako hivi na Mama akienda huko huwa inakua hivi au ?..
.
Maana kuna wamama na ndoo zao za samaki inabidi watembee from ferry to posta kukwepa foleni..
.
Mixer wafanyakazi wenye ofisi karibu na alipolala Kamala kutafuta njia mbadala..
.
Inshort jamaa wamepiga utepe...
IMG_20230331_203256.jpg
 
JF kama myuUSA kaja mambo yako hivi na Mama akienda huko huwa inakua hivi au ?..
.
Maana kuna wamama na ndoo zao za samaki inabidi watembee from ferry to posta kukwepa foleni..
.
Mixer wafanyakazi wenye ofisi karibu na alipolala Kamala kutafuta njia mbadala..
.
Inshort jamaa wamepiga utepe...View attachment 2572382
Leo town hata police ni wengi kuliko raia aiseee..
.
Wamerekani kuna namna wanajiposition huwezi wachukulia poa..
.
Anyway wakati unatafakari report ya CAG na msimamo wa mama kuhusu upinde..
.
Tukutakie siku njema ya uzalishaji yenye matunda na mafanikio..
.
Asante kwa kusoma...naenda kupiga raakah kidogo tuonane kesho asubaah
IMG_20230331_203318.jpg
 
Back
Top Bottom