KERO Hawa TANESCO kila siku usiku lazima wakate umeme Kivule na mitaa yake

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,260
Reaction score
40,441
Wiki Sasa kumezuka tabia ya Tanesco kukata umeme bila taarifa na kurudisha saa 7 usiku

Hili zoezi lao litaigharimu CCM maeneo haya.
 
Unawezaje kuishi mbagara mkuu na uko comfortable kabisa afu mwana jamiiforum tena mpaka unatakuna watu hizo nguvu za kutukana watu na unaishi mbagara umezitoa wapi?
 
CHIEF,
Kasema kivule au kivule nayo iko huko mbagara?
Dar es salaam kuna Mbagala hii mbagara ipo Dar au ni kilugha?
 
Wiki Sasa kumezuka tabia ya Tanesco kukata umeme bila taarifa na kurudisha saa 7 usiku

Hili zoezi lao litaigharimu CCM maeneo haya.
Wanasingizia matengenezo kila wakati, tukipita mtaani hatuoni hata wakitengeneza, hayo matengenezo sijui wanayafanyia wapi
 
Back
Top Bottom