Lipa wewe utazame royo tua inarudiwa leo acha ubahiriSerikali iliagiza channels zote za ndani kuoneshwa bure kwenye ving'amuzi lakini cha ajabu Startimes wamenikatia channels zote wananiachia St. Guide na Safari Channel tu. Ikoje hii??
Chanel ganLipa wewe utazame royo tua inarudiwa leo acha ubahiri
Wabongo zikibaki mtakuwa hamlipi na gharama za uendeshaji ziko pale pale.Dstv ndio babalao wao wanakuachia tbc na dish tv.
Mafala sana hao.
Nilikuwa na mpango wa Dstv,kumbe nao wanakata bado.Dstv ndio babalao wao wanakuachia tbc na dish tv.
Mafala sana hao.


