Hawa ni wadudu gani?

Hujanya humo ndani kweli? Au nenda toilet kaangalie kama kime-flashiwa vizuri
 
Dudu mavi wanaitwa hao, zingatia usafi jamani dahh, kwani mnapiga uharo ndaniii?
 
Kwani unakunya chumbani au sebuleni halafu hauflash au? wadudu wa chooni hao wa haja kubwa
 
Uyooo ni insect, Yuko kafika hatua ya tatu Yani buuu au pupa in eng,
Nenda kajifunze mzunguko wa maisha ya insect utaelewa zaidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…