Hawa ndugu zangu hawabebeki kabisa

Mkuu hii hali kuna wakati mwingine na mm iinikuta...kwa kifupi tu mm baada ya kuona hivyo niliamua kukata mawasiliano ila niliwaelekeza kabisa kuwa kuendea kuzaa tu na kutofanya kazi za kutafita kipato kutegema mm siwez nina mambo yangu mengi na nina familia pia kwa hiyo KUANZIA SASA HIV NITAKUWA NASAIDIA PALE NINAPO KUWA VIZURI UJINIPIGIA SIM UKANIAMBIA SHIDA NISIPO KUTUMIA HAKUNA KULAUMU.TENA KWA UKALI KABISA NA UKAZE MOYO HAKUNA KU CHEKA NA MTU.MBONA WALIELEWA .saa hiv safi situmii mtu pesa ya kununua unga wala mboga ukiwaendekeza ndugu mkuu utaumia sana.watasema mwisho watanyamaza coz si kwamba huwa sitoi.sas hiv wananipigia sim jambo zito nalipima naona hili linaitaji msaada natekeleza.mtu azae tu huko eti mjomba nipo sifany ujinga huo.
 
Mbona hata mwandiko wako unaonesha tabia yako inafanana na hao ndugu zako-ya uswahili uswahili ,ni hivyo tu
 
Jifunze kuandika vizuri

Hao ndugu zenu mnawaendekeza..na wanafanya kusudi sababu wanajua maburudoza mpo

Wapeni mikausho mikali watanuna mwisho wa picha maisha yanaendelea
 
Ao ni kama ndugu zangu kabsa ....duh usiombe yani
 
Mbona anaeleweka mlitaka aandikeje kwa mfano kwan humu ni mahali pa kushauriana miandiko.

My take:izo laki tano tano ungeanzisha nazo wew biashara waisimamie ikiwa pamoja nao.
Ingekuwa ndo ungeachana nao.
 
Mazoea ya kuchat mpaka kwenye Uandishi Wa vitu serious mnakuwa nao, Eti XX, lkn, maadiri nk
 
Kwani we ulisoma si ili uje uwasaidie ambao awajasoma sasa pambana na Khali ya familia yako , kun familia zinamatatizo makubwa kushinda wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…