Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,741 Reaction score 25,678 Jan 22, 2018 #1 Habari zenu wanaJF. Leo nawatajia list ya watu walioniudhi mwaka 2017; 1. Ndalichako 2. Posta ya Temeke 3. Mods wa JF 4. Konda wa daladala 5. Benki ya NMB tawi la Tandika
Habari zenu wanaJF. Leo nawatajia list ya watu walioniudhi mwaka 2017; 1. Ndalichako 2. Posta ya Temeke 3. Mods wa JF 4. Konda wa daladala 5. Benki ya NMB tawi la Tandika
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,144 Jan 22, 2018 #2 Kulikoni?
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,144 Jan 22, 2018 #3 HARUFU Nyundo NNE (4) ndani ya JF. Ni raha ilioje. Nawashukuru wote, kuanzia Wadau mpaka Uongozi mzima wa JF. Kwa kweli bila ya Nyinyi sie kina HARUFU si kitu. Ahsanteni sana
HARUFU Nyundo NNE (4) ndani ya JF. Ni raha ilioje. Nawashukuru wote, kuanzia Wadau mpaka Uongozi mzima wa JF. Kwa kweli bila ya Nyinyi sie kina HARUFU si kitu. Ahsanteni sana
CaptainDunga JF-Expert Member Joined Jul 17, 2009 Posts 1,610 Reaction score 1,434 Jan 22, 2018 #4 MJUKUU WA CHIFU said: 2.Posta ya Temeke Click to expand... Kumbe Posta siku hizi ni mtu?
CaptainDunga JF-Expert Member Joined Jul 17, 2009 Posts 1,610 Reaction score 1,434 Jan 22, 2018 #5 MJUKUU WA CHIFU said: Benk ya NMB tawi la Tandika Click to expand... Hata huyu NMB Temeke ni mtu?
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,856 Jan 22, 2018 #6 Sa uliwaambia ukweli
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,741 Reaction score 25,678 Jan 26, 2018 Thread starter #7 HARUFU said: Kulikoni? Click to expand... Posta pale nilituma maombi Necta badala ya kuniandikia English Language wameniandikia Literature
HARUFU said: Kulikoni? Click to expand... Posta pale nilituma maombi Necta badala ya kuniandikia English Language wameniandikia Literature
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,741 Reaction score 25,678 Jan 26, 2018 Thread starter #8 Idd Ninga said: Sa uliwaambia ukweli Click to expand... Acha kabisa mkuu