Toa kwanza huu utopolo wa kike 2025 ndiyo utuletee upuuzi huu! Jinamizi la kizmkazi amejiimarisha kuuza matowashi kama wewe Arabuni mkaolewe huko! kati ya 2026 - 2029 chawa watakuwa ******* arabuni!Kwa maoni yangu hawa hapa ndio watu wenye uzalendo wakuiongoza nchi hii 2030,
1, Mimi mwenyewe hapa Liwagu.
Kwajinsi mambo yanavyo kwenda ninaona kabisa ninauwezo wa kuiongoza hii nchi na tukapiga hatuja kubwa sana kimaendeleo baada ya miakami 5 tu.
Mwaka wakwanza nitahakisha ninabadili katiba Ili viongozi wote waserikali pamoja na mimi mwenyewe ninawajibika kwa wananchi na niwe naweza kuchukuliwa hatua za kisheria kama nitakuwa nimefanya makosa katika uongozi wangu.
Hii nikwasababu nitataka kuona kauli ya hakuna alie juu ya sheria inafanya kazi kwa vitendo.
Baada ya katiba, mengine yote yatakuwa rahisi sana kutekelezeka kama uwajibikaji utakuwa ndio wimbo wa taifa.
Hatuitaji rocket science, facilitations gears zote tunazo, tunahitaji dhamira ya dhati tu.
Wengine hapa [emoji116]
2,Kasim Majaliwa
3,John Heche
4,Dotto Biteko
5 J, Gwajima
6, Mpina Ramadan.
7, Paul Makonda
8, G, Lema
9, J, Nchimbi
10, T, Lisu.
Naweza kubeti mmoja kati ya hao anaweza kuwa kiongozi bora sana ingawa sijui kama wanaweza kubadii katiba Ili iwawajibishe nawao kama mimi.
Tate mkuu ndio naniuyo tena, weka jinalake kamili.Weka Tate Mkuu hapo juu kabisa ili aje aiondoe Tanganyika kutoka kwenye Muungano na wale watu wasio na visogo, ndani ya siku mbili tu baada ya kuapishwa kuwa Rais.
1. Ana elimu ya kutosha, na pia siyo ya kufoji cheti kama ile ya BASHITE.
2. Ni Mzalendo na mpenda nchi yake.
3. Ana haiba ya urais
4. Ni mtu wa reasoning
5. Anatokea Tanga ya milimani, na siyo ile ya Pwani.
5. Ni mpinga rushwa na ufisadi.
Kwa maoni yangu hawa hapa ndio watu wenye uzalendo wakuiongoza nchi hii 2030,
1, Mimi mwenyewe hapa Liwagu.
Kwajinsi mambo yanavyo kwenda ninaona kabisa ninauwezo wa kuiongoza hii nchi na tukapiga hatuja kubwa sana kimaendeleo baada ya miakami 5 tu.
Mwaka wakwanza nitahakisha ninabadili katiba Ili viongozi wote waserikali pamoja na mimi mwenyewe ninawajibika kwa wananchi na niwe naweza kuchukuliwa hatua za kisheria kama nitakuwa nimefanya makosa katika uongozi wangu.
Hii nikwasababu nitataka kuona kauli ya hakuna alie juu ya sheria inafanya kazi kwa vitendo.
Baada ya katiba, mengine yote yatakuwa rahisi sana kutekelezeka kama uwajibikaji utakuwa ndio wimbo wa taifa.
Hatuitaji rocket science, facilitations gears zote tunazo, tunahitaji dhamira ya dhati tu.
Wengine hapa [emoji116]
2,Kasim Majaliwa
3,John Heche
4,Dotto Biteko
5 J, Gwajima
6, Mpina Ramadan.
7, Paul Makonda
8, G, Lema
9, J, Nchimbi
10, T, Lisu.
Naweza kubeti mmoja kati ya hao anaweza kuwa kiongozi bora sana ingawa sijui kama wanaweza kubadii katiba Ili iwawajibishe nawao kama mimi.
Alijaribu kupambana na mashoga, alijaribu kupambana na wauza madawa ya kulevya,Ukiacha Tamasha la Nyama choma, Makonda aliwahi kuongoza nini chenye tija?
Mkuu hunijui sikujui, kama unataka kujua upandewangu, mimi mudawote nasimama kwenye ukweli na sipo kichawa.Toa kwanza huu utopolo wa kike 2025 ndiyo utuletee upuuzi huu! Jinamizi la kizmkazi amejiimarisha kuuza matowashi kama wewe Arabuni mkaolewe huko! kati ya 2026 - 2029 chawa watakuwa ******* arabuni!
Kweli sasa watu hamuna !Toa askofu, toa wa kolomije
Asimsahau pande gani ? ๐Mwenyezi MUNGU siku ya kiama usimsahau KIKWETE tafadhali
Ondoa kibaka na jambazi Makonda.Kwa maoni yangu hawa hapa ndio watu wenye uzalendo wakuiongoza nchi hii 2030,
1, Mimi mwenyewe hapa Liwagu.
Kwajinsi mambo yanavyo kwenda ninaona kabisa ninauwezo wa kuiongoza hii nchi na tukapiga hatuja kubwa sana kimaendeleo baada ya miakami 5 tu.
Mwaka wakwanza nitahakisha ninabadili katiba Ili viongozi wote waserikali pamoja na mimi mwenyewe ninawajibika kwa wananchi na niwe naweza kuchukuliwa hatua za kisheria kama nitakuwa nimefanya makosa katika uongozi wangu.
Hii nikwasababu nitataka kuona kauli ya hakuna alie juu ya sheria inafanya kazi kwa vitendo.
Baada ya katiba, mengine yote yatakuwa rahisi sana kutekelezeka kama uwajibikaji utakuwa ndio wimbo wa taifa.
Hatuitaji rocket science, facilitations gears zote tunazo, tunahitaji dhamira ya dhati tu.
Wengine hapa [emoji116]
2,Kasim Majaliwa
3,John Heche
4,Dotto Biteko
5 J, Gwajima
6, Mpina Ramadan.
7, Paul Makonda
8, G, Lema
9, J, Nchimbi
10, T, Lisu.
Naweza kubeti mmoja kati ya hao anaweza kuwa kiongozi bora sana ingawa sijui kama wanaweza kubadii katiba Ili iwawajibishe nawao kama mimi.
Unafaa wewe kagombee mkuu!Makonda hafai kuongoza kuanzia ngazi ya kaya mpaka taifa(Ni mpumbavu).Hao wengine sawa.
Ni kweli nyinyi mashoga huwa hampendi kwa kuwa aliwashughulikia kikweli kweli mwaka 2016/17 ingawaje watz wanampenda sana kuwa kiongozi wao.Ondoa kibaka na jambazi Makonda.
Bashite ndiye PM ajaye ujue! Atafanikisha udalali wa kila kinachouzika arabuni! Bi Kzmkazi ameng'ang'ania kushiriki uchaguzi ili atimize ndoto za ma uncle wa arabuni!Ondoa kibaka na jambazi Makonda.
Makelele yale na show off za kijinga kuwafool watz wenye uelewa mdogo wamuone na yeye kuna kitu anacho kichwani kumbe hakuna mtu hapoKweli sasa watu hamuna !
๐ ๐
Yeyote tu ? Hata wa Kolomije. ๐คฃ๐คฃ
๐ฎ๐ฎ๐ฎKwa maoni yangu hawa hapa ndio watu wenye uzalendo wakuiongoza nchi hii 2030,
1, Mimi mwenyewe hapa Liwagu.
Kwajinsi mambo yanavyo kwenda ninaona kabisa ninauwezo wa kuiongoza hii nchi na tukapiga hatuja kubwa sana kimaendeleo baada ya miakami 5 tu.
Mwaka wakwanza nitahakisha ninabadili katiba Ili viongozi wote waserikali pamoja na mimi mwenyewe ninawajibika kwa wananchi na niwe naweza kuchukuliwa hatua za kisheria kama nitakuwa nimefanya makosa katika uongozi wangu.
Hii nikwasababu nitataka kuona kauli ya hakuna alie juu ya sheria inafanya kazi kwa vitendo.
Baada ya katiba, mengine yote yatakuwa rahisi sana kutekelezeka kama uwajibikaji utakuwa ndio wimbo wa taifa.
Hatuitaji rocket science, facilitations gears zote tunazo, tunahitaji dhamira ya dhati tu.
Wengine hapa [emoji116]
2,Kasim Majaliwa
3,John Heche
4,Dotto Biteko
5 J, Gwajima
6, Mpina Ramadan.
7, Paul Makonda
8, G, Lema
9, J, Nchimbi
10, T, Lisu.
Naweza kubeti mmoja kati ya hao anaweza kuwa kiongozi bora sana ingawa sijui kama wanaweza kubadii katiba Ili iwawajibishe nawao kama mimi.
Ni kagombee nini tena?Ni kwamba mtu kaweka list yake nilichokifanya nikuondao ambaye kwangu sio sahihi.Makonda kama ni chaguo lako.It's up to you man.Siwezi gombea chochote lakini bwana mdogo huyo ni mpumbavu, ni mzuri tu kukiwa na vyombo vya habari mpate nyuma ya pazia utajua dogo ana ushetani mwingiUnafaa wewe kagombee mkuu!