inasikitishasana jinsi ambavyo wasaidizi wa raisi kwamaamuzi yanayo kinzana juu ya maamuzi yakutoza kodi lineza simu baraza la mawazi linapo kaa waziri mkuu ndie mwenye kiti iweje leo makamba ajifanye ana ungana na walala hoi kupinga tozo hiyo wakati wakikao cha bunge wote mlikuwepo mnasinzia kazi yenu kuitikia ndiyooooo kilakitu mambo yakiwa magumu mna mwachia J K Tafuteni njia mbadala mbona kwenye madini hamkusanyi kodi ?acheni hizo