soma mada uelewe kabla ya ku comment, mleta mada anakereka na madereva kutofuata sheria za barabarani na kutokuwa na ustaarabu, jaribu kuwa serious sometimes sio kutwa kutema Pumba tu humu kama Bata.
me kuna mmoja leo asubuh maeneo yq kwa nyerere kanichomekea alaf atembei ukitaka kumpita anaongezq mwendo na nilikua naalaka kwell bas tukaendq ad mataa ya moroco nikampita kumbe alikua na dem alaf dem kaladha kiti kajiladha chali jamaa linashika mapaja