Hawa ndio Waafrika Original, wengine ni copy tu

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,379
Reaction score
13,198


South Sudan The Nubian... weusi hadi vianja ukiona wasio weusi tiii basi wahamiajai tu...

Na wadada zao pia ni black beauty tii
 
Hao mbona warembo ngoja nitafute lile toleo la kwanza!
 
Wachezaji white ni wawili tu kipa na huyo wa nyuma yake... machotara Yaani nchi nzima hao jamaa ndio wanaitwa White
 


South Sudan The Nubian... weusi hadi vianja ukiona wasio weusi tiii basi wahamiajai tu...

Na wadada zao pia ni black beauty tii

Uafrika ni rangi nyeusi tu?

Na wamarekani ni watu wa aina gani?
 
mbona bendera ya nahodha inasomeka Mali? au mashindano yalifanyikia mali?
 
Taarifa: Hao sio Wanubi Bali Ni WA makabila ya Dinka na Nuer
Wanubi hawakai South Sudan bali wanakaa jumbo la Nubia na so weusi Sana,na wengi Sana damu mchanganyiko.
Ni kabila la zamani Sana, lilikuwepo tangu Enzi ya Mafarao WA Misri
 
Hawa jamaa kuna msichana tulikuwa nae chuoni mweusi akicheka unaona meno tu halafu ana mapengo sasa.teh teh
 


South Sudan The Nubian... weusi hadi vianja ukiona wasio weusi tiii basi wahamiajai tu...

Na wadada zao pia ni black beauty tii

Hao jamaa wa tatu kutoka kulia na watatu toka kushoto mmmhhh
 
Hao jamaa wa tatu kutoka kulia na watatu toka kushoto mmmhhh

Utakuta binti mrembo wa Kizungu kamzimikia balaa akimuona anamkimbilia kwa furaha Mr. Ningisi oh my gosh.... i missed you mwah mwah mwah... balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…