Mwananchi wa chini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 227
- 599
1. Kila kitu kinachofanywa na serikali si sahihi.
2. Ukipinga yanayofanywa na viongozi wao hata kama ni madudu utaishia kutikanwa.
3.Ukimsifia kiongozi wao wewe ni shujaa na una akili.
4. Hawana hoja na hujilinda kwa matusi.
5. Kila akifanyacho kiongozi wao yupo sahihi.
6. Hawana uwezo wa kufikiri sana.... kila kinachofanywa na mfuasi wao ni sahihi.
Leo utasikia wanatetea bangi, mimba mashuleni, kutukana bungeni ilimradi tu aliyekianzisha ni kiongozi wao.
7. Wepesi kusahau Lowassa waliyemuita fisadi 2014 leo ni rais wa mioyo yao.
8.Hawataki kutatua matatizo yao binafsi kwa kuwa wanaamini Serikali ndio inatakiwa iwatatulie.
9. Ni warahisi kupotosha kwa taarifa zisizo za kweli. Hawana muda hata wa kujiuliza au kutafuta taarifa hizo. Wanaamini sana Propaganda na media.
10. Baya Lolote litakalotokea nchini wanaamini serikali ya CCM ndio kisababishi.
11. Uwezo wao wa kufikiri umepungua japokuwa una nafuu ukilinganishwa na wa kijana wa CCM aliyekunywa maji ya bendera.
#Kijana wa CCM.
1. Wanaamini kuwa CCM ndio uzalendo wanashindwa kutofautisha uanachama na uzalendo.
2. Kwao upinzani unapaswa kufutwa nchini hawaamini kuwa uwepo wa upinzani una tija kwa taifa.
3. Kila jambo linalofanywa na serikali wanaunga tu mkono hata kama anaona kuna makosa mahali.
4. Ukiwa na mtizamo tofauti hupaswi kuutoa na ukiutoa wewe ni Nyumbu au msaliti.
5. Hawana matusi sana ukilinganisha na chadema kwa kuwa wanasubiri uteuzi.
6. Wengi waliopo CCM wapo kimaslahi wanasubiri uteuzi.
7. Waoga kukosoa viongozi wa chama chao na serikal hata kama inafanya madudu
8. Wana vyanzo vingi vya taarifa japokuwa huvipindisha kwa maslahi yao binafsi.
9. Wengi ni waoga kukisemea chama hadharani kama walivyo Chadema.
10. Wapo Radhi kumtukana mtu yeyote alimradi kaikosoa Serikali.
11. Uwezo wao wa kufikiri umepungua mtu mwenye degree anakuwa sawa na mtu ambaye hajaenda shule kabisa.
Hizi ndio block mbili za vijana tulizonazo hakuna mahali tunapokutana kwa pamoja kwa agenda zinazogusa matatizo yetu.
#Hawa ndio vijana wa Tanzania
Ole Mushi.
0712702602.