Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
----- mtupu!! Watu wanasifiwa kwa uwezo wa kujimudu na kutegemeza familia zao kimaisha nyie mnasifia utumbo na uwezo wa kuchomana visu????? Ndiyo maana vijana wa unga ltd wanatokomea kwenye umaskini na ulevi wa bange na Gongo,unga ndio home,na acha nijisifu mimi nimeweza angalau kuwabadilisha wachache na wamekuwa stable kiasi,tuache kusifia ujinga,wenzetu wanazidi kutuacha mbali.
Hapo ungaltd kwa nini paliitwa ivyo! a sn napata shida kupaelewa arifu, cjui ni unga upi
Hapo ungaltd kwa nini paliitwa ivyo! a sn napata shida kupaelewa arifu, cjui ni unga upi
Jamani ungaltd kuna baadhi
ya vijana ambao wanavaa mavazi ya kiaina yake na sidhan kama kuna sehem
nyingine wanavaa kivile,utakuta kijana amevaa suruale imembana haswa
njoo ucheki hapo chini yan kiatu ni bonge la oversize ukija kichwan
kavaa kapero kaikunja kwa mbele,sasa cheki hiyo tembea yake utafurah
mwenyewe yani anadunda utadhan anaspringcoil.
Ufafanuz tafadhal kama unachochote kuhusu hiyo style ya ungaltd.
Jukwaa la biashara linakuhusu..achakuingilia maswagga ya watu charii angu.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums