Ukweli ni kwamba,vijana wa kitaa wa Arusha wanatambulika kwa miondoko na mavazi yao:
Mfano:
Kijenge-mwendo mdundo na pozi za kiana,mavazi mara nyingi huwa mlegez😵ngea yao ya kuvuta maneno ishara ya matumizi ya "kitu cha arusha"
Matejo:mara nyingi nguo zao ziko choka mbaya na mwendo usio kuwa na urari kati ya mikono na miguu!Dalili ya matumizi ya pombe ya gongo!
Sekei,Sanawari,Soweto na barobaro wote wa Njiro,wadau mnaweza kuongezea!!!
Chalii angu upo juu!Hiyo ndio dress code ya machalii mkuu, it has been that way for decades
cheeee!!!machaliiiiii mnatudi fine arifuuuuuuuuu,kweliiii mchaliiii wa pande z katiiii masanraaa,mamiaziii,makijenge,masekeii,ma ngalimi, ngaleloo mojaaaa...ni ma HIP HOP laaana.kitu niniiii...usibisheee arachugaa ndo geniva of africaaa arifuuuuuuuuuuuu
niaaaaaje ariiiifu be reall uko pande za araaachugaaah ariiifu?
Jamani ungaltd kuna baadhi ya vijana ambao wanavaa mavazi ya kiaina yake na sidhan kama kuna sehem nyingine wanavaa kivile,utakuta kijana amevaa suruale imembana haswa njoo ucheki hapo chini yan kiatu ni bonge la oversize ukija kichwan kavaa kapero kaikunja kwa mbele,sasa cheki hiyo tembea yake utafurah mwenyewe yani anadunda utadhan anaspringcoil.
Ufafanuz tafadhal kama unachochote kuhusu hiyo style ya ungaltd.
Ile inaitwa "MNYONYO" ndio suruali nyembamba hata chupa ya bia haipiti.