L lusban JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 727 Reaction score 360 Nov 17, 2016 #2 Aiseee, hii si sawa kabisa!
zimwimtu JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 1,988 Reaction score 1,097 Nov 17, 2016 #3 hii si sawa, wababa wa siku hizi tunawajali sana watoto wetu. wazee wa zamani anazaa watoto 20++ hata wengine hajui wanakula nini? give us a brake dude........
hii si sawa, wababa wa siku hizi tunawajali sana watoto wetu. wazee wa zamani anazaa watoto 20++ hata wengine hajui wanakula nini? give us a brake dude........
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Nov 17, 2016 #4 Hao sio mababa ni picha ya mtu aliyeshika mwamvuli na mtoto mdogo anaetembea kwenye mvua akiwa ameshikwa mkono na mtu mzima aliyeshika mwamvuli
Hao sio mababa ni picha ya mtu aliyeshika mwamvuli na mtoto mdogo anaetembea kwenye mvua akiwa ameshikwa mkono na mtu mzima aliyeshika mwamvuli