Hawa ndio maadui wa CHADEMA

[/QUOTE]

uwe unaandika kwa vituo na paragraph basi. Hausomeki kabisa
 
Mystery,
Ama kweli ni muhimu watanzania wapeleke watoto shule. Tena lazima pupate shule bora na zinazolipiwa na Serikali fully ili kutokutengeneza matabaka katika Taifa letu Kama inavyotaka kutokea sasa.

Hivi kweli watu waliosoma hata darasa la Saba tu, wanaweza kufanya makosa makubwa kiasi hiki? Inawezekana kuwa Dr Slaa kaasi Upadre, kafukuzwa upadre, kisha watu hao hao waje na propaganda kuwa Chadema ni chama cha kikatoliki kwa kuwa tu Dr Slaa alikuwa Padre wa kikatoliki! Which is which? Aliasi Upadre kafukuzwa na hivyo ni mbalimbali na Kanisa Katoliki au hakuaasi/ fukuzwa na hivyo katumwa na Kanisa Katoliki? Please be consistent in your thinking. Hamwezi kuwa GT Kama hamwezi kuwa consistent na au hata hamjui mnachosema!


QUOTE=Mystery;6815905]Nyinyi magamba hamuishi kuweweseka,mlijaribu kwa nguvu zote kudai kuwa Chadema ni chama cha kichaga,mksgundua hiyo single,haiuziki.

Mkajaribu propaganda ya kudai kuwa Chadema ni chama cha kanda ya kaskazini,lakini kutokana na akina Sugu,Msigwa,Zitto Kabwe,Wenje,Tundu Lissu na wengineo,kushinda ubunge kwa kishindo kikubwa,wakati wabunge wote hawatoki kanda ya kaskazini,mkaona hiyo single haiuzikikabisa.

Sasa nawe gamba unakuja na utumbo wako wa kuwa Chadema ni chama cha wakotoliki,kweli ilinenwa mfa maji haishi kutapa tapa.

Ni dhahiri kwa sasa magamba wamekaribia kabisa kupotea duniani,kwa hiyo yanayofanywa kwa sasa na magamba hayana tofauti kabisa na mtu anayeaga dunia![/QUOTE]
 
Rais Dr.W.Slaa hebu nakusihi badala ya kuwajibu hawa vinyamkela ambao ni jobless wanashinda ofisi za Lumumba kupiga propaganda na kubali IDs, hebu pumzika mzee wetu hawa green guards waache lengo lao waone tu comments zako na kujifurahisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…