Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,351 Reaction score 13,140 Nov 8, 2018 #21 kuna time kule jangwani nyuma ya hospital ya muhimbili walipulizia sijui kumwagia dawa madimbwi na mitaro basi mbu walihamia maeneo ya upanga ilikuwa ni mshike mshike hao ni cha mtoto
kuna time kule jangwani nyuma ya hospital ya muhimbili walipulizia sijui kumwagia dawa madimbwi na mitaro basi mbu walihamia maeneo ya upanga ilikuwa ni mshike mshike hao ni cha mtoto
Gonzalo Miguel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 850 Reaction score 661 Nov 8, 2018 #22 Mkuu tumia kijnga cha moto..uwakomoe na ww