Mlikutana wote wa uswahilini ndiomana unabeza na kujifanya unashangaa
Kwahyo hukujua kama uswazi njaa Kali sometimes madada wanashindwa hata kununua peddy?Nimezaliwa uswazi ila mda wangu mwingi nimekua shule na vyuoni ko sijajchanga nao sana na likizo nyingi wakati nasoma nilikua naenda zangu bukoba au moshi nimeanza maisha yangu siishi uswazi napitaga tu
Ukimnyoosha vizuri atajua tu afu ndio atakua nyoka balaaTatizo la mboga saba kitandani ni sifuri
Kwahyo hukujua kama uswazi njaa Kali sometimes msaada wabashindea hata kununua peddy?
Hatari sana aisee Mimi japo nipo uswazi ila mawindo yangu ni kishuaDah tubinti tumenishangaza sana nilikua namwomba mungu nisije nikakutwa na yyt anayenifahamu ilikua kama nafanya child support hawana hadhi ya kuniita shemeji
Walikua wanaagiza vitu wanakula kdg wanajaza kwenye Rambo mpaka nikawa naona aibu Mimi mwenzao wala hashtuki
Kwanza mi na wao ni ka simba vs swala sitaki mazoea kabsa ya kuombana mia mia ndio nini hiiWafundishe Dada zako ustaarabu wakutanapo na watu wageni
Yani ukikapa 5000 kinajua ndio umefika kweliiii yani et bado tunaimani mapenzi ni pesaJana tu niliambiwa simu yangu inazima afu luku imeisha na zamu yangu kununua
Hata kama, ndio ubebe njaa ya kijiji kizima?Kwahyo hukujua kama uswazi njaa Kali sometimes madada wanashindwa hata kununua peddy?
Yani ukikapa 5000 kinajua ndio umefika kweliiii yani et bado tunaimani mapenzi ni pesa
Ukikosa hela ujue umekosa vyote hadi akili yani
Wanawaiga Dada zao wanaowaonaga kwenye TVHata kama, ndio ubebe njaa ya kijiji kizima?
Ujinga kabsa ka ndio Mimi ningewalamba na vibaoAliniuliza unafanya kazi wapi nkasema sina akauliza umepanga au kwenu nkasema kwa Shangazi akasema sa utaweza kunihudumia?nakamuuliza unataka nyumba gari au kitu akasema nikiwa na shida na vocha na ham ya chips nkamwambia usijal