HAWA GHASIA: Jimboni kwako hakuna umeme wala maji, loh!!!!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Wana JF....
hii ni hatari na wala hamuwezi kuamini!!!!
Jimbo la huyu mwanamama ni Mtwara Vijijini,,,,,laiti kama ungepata nafasi ya kutmbelea hili jimbo, huwezi kuamni kuwa wanaishi DUNIA hiii hiii au???

Jimbo hili halina umeme hata nyumba moja.......hamna maji ya bomba hata tone moja,,,,jamaaaaaaaaaani.................

Zamani enzi za Mwalimu walitanadza mabomba, nilifika nafanya research, majibu niliyopata ni aibuuuuu,,,,,,,,,,,,,,,,,wanasema yalitoka mara ya mwisho 1988.................

Nikagoogle profile ya huyu mama, ni msomi kabisa tena ana masters ya rural development pale SUA........................nikauliza nyi watanzania, miaka yake amefanya nini cha maaana......wakasema mwnyew kwenye kampeni anadai kajenga shule iitwayo MUSTAFA SABODO EDUCATION CENTER................shitttt................yaaani amjenga yule mzee na mabilioni yake yeye anadai kajenga.................

nina mengi..........lakini watu wamelala...sio CDM iko wapi????????????
 
Hizo masters kwa mazingira yetu zisikutishe kwani wengi wanadesa bila kuwa na kitu tangible kuonyesha! Practicle yake ndo hiyo unayoiona kwani hata kujenga hoja ni shida!
 
hahahaaaaaaaaaa...
wajinga ndio waliwao
wajinga ni waliomchagua!!!:biggrin1:
 
Hata CUF wameshindwa kuwaamsha usingizini? Nasiki CUF wananguvu huko...kama wameshindwa nawashauri nguvu ya umma ya chadema ikapige kambi huko
 
Hizo masters kwa mazingira yetu zisikutishe kwani wengi wanadesa bila kuwa na kitu tangible kuonyesha! Practicle yake ndo hiyo unayoiona kwani hata kujenga hoja ni shida!

tanzania nchi ya amani sana-hao wananchi wanaona amani tu akija kuomba kura watampa tena wao wana amani tu.mimi wilayani niliko mlango wa ofisi ya mbunge u,eota utandu na umejaa vumbi.
 
Wana JF....
hii ni hatari na wala hamuwezi kuamini!!!!
Jimbo la huyu mwanamama ni Mtwara Vijijini,,,,,laiti kama ungepata nafasi ya kutmbelea hili jimbo, huwezi kuamni kuwa wanaishi DUNIA hiii hiii au???

Jimbo hili halina umeme hata nyumba moja.......hamna maji ya bomba hata tone moja,,,,jamaaaaaaaaaani.................

Zamani enzi za Mwalimu walitanadza mabomba, nilifika nafanya research, majibu niliyopata ni aibuuuuu,,,,,,,,,,,,,,,,,wanasema yalitoka mara ya mwisho 1988.................

Nikagoogle profile ya huyu mama, ni msomi kabisa tena ana masters ya rural development pale SUA........................nikauliza nyi watanzania, miaka yake amefanya nini cha maaana......wakasema mwnyew kwenye kampeni anadai kajenga shule iitwayo MUSTAFA SABODO EDUCATION CENTER................shitttt................yaaani amjenga yule mzee na mabilioni yake yeye anadai kajenga.................

nina mengi..........lakini watu wamelala...sio CDM iko wapi????????????

huna data. Ondoa thread yako humu!
 
Tusilete siasa, Je huyu dada yeye ana uwezo gani wa kupeleka umeme na maji kule mtwara vijijini? Jamani hiyo ni kazi ya serikali siyo ya mbunge, hivyo kama ni lawama ipelekewe serikali au halmashauri. Dsm kwenyewe tu jiji kubwa Tz lakini hayo maji na umeme serikali imeshindwa itakuwa ya mtwara vijijini? Tuweni wa kweli jamani, tusiwatwishe wabunge mzigo ambao sio wao, kama ni hivyo mbona hata kwa waziri mkuu hakuna maji na umeme?, itakuwa kwa hawa ghasia? no, no ,no.
 
mkuu umeme na maji ni wimbo wa taifa tanzania nzima, wilaya za vijijini, tunampenda dada yetu... infact mtwra vijijini huwezi kuilinganisha na wilaya nyingi za vijijini plus na zile za chadema, tunampenda sana mbunge wetu
 
si kuna kipindi na nyie mlitaka kumpiga pale Nanhyamba?
 
Back
Top Bottom