Hawa Face Book Mbona Siwaelewi

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Nilifungua akaunti yangu ya facebook kwa kutumia namba ya simu .Baada ya kutumia hii akaunti kwa muda nikaangalia profile yangu nikakuta wameniwekea email adrress yao ya ki facebook __----@facebook.com .Basi mimi nikaamua kuongeza email address yangu na nika i comfirm lakini hii imekuwa pending .Sasa kitu cha ajabu kwenye hii email address niliyo i comfirm sipati notification yoyote.JAPO kuwa nime enable email notification.Ninadhani notification na message wananitumia kupitia email address ya kifacebook waliyo nipa ambayo ni ---@facebook.com .Sasa mimi najiuliza hii email address --@facebook.com nitaifunguaje na nifanyaje ili niweze kupata notification kwenye email yangu ya gmail niliyo i comfirm .MSAADA WENU WAKUU.
 

Jaribu kwenda kwenye help center yao kupitia page hiyohiyo ya fb au angalia kuna kitufe cha report pia waweza jaribu.
 
Facebook wapo makini sana mkuu!

Tatizo hiyo email yako ya gmail !
Haujaifanya kuwa kama main facebook email mkuu !
 
mi nadhan kwenye setting pale sehemu ya primary email ndo ungeweka hiyo gmail then confirm kwa password..
 
Facebook wapo makini sana mkuu!

Tatizo hiyo email yako ya gmail !
Haujaifanya kuwa kama main facebook email mkuu !

Sasa nifanyaje ili email ya gmail niliyo i comfirm iwe main facebook email
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…