OKADA, THANKS FOR THAT CHANGAMOTO. MIMI HAIJANITOKEA, Lakini imeawatokea watu wengi sana katika jamii yetu. Nadhani nimekuelewa vizuri. Ni bahati mbaya/NZURI kwa wenzangu wakristo kwa sababu ndoa haikomi mpaka kifo kiwatenganishe. Therefore what ever happens in your marital life should be treated in such a way that should remain in existence.
Kwa maelezo uliyoyatoa naamini kwamba hiyo hali itakuwa inawaathiri wanandoa wote wawili. If I read your post between lines i find the solution to be somewhere between the lines. What i see and suggest is this: Find time (enough time, when all of you two are free) and place (mahari fulani mbali na nyumbani, paweza kuwa na bustani ya maua mazuri au beach, whichever you can choose), hapo mkifika muwe kama mnaanza upya mada ya mapenzi. tengeni mazingira ambayo kila mmoja wenu atakuwa free kuongea chochote. Nafasi ya hasira na visilani iswepo kabisa.
Feel free to ask your spouse if there was a time in life you had hurt him/her, you should be ready to confess.
Kila mmoja wenu awe tayari kufanya mabadiliko fulani kama outcome ya majadiliano mtakayoyafanya huko.
Nadhani hii inaweza kusaidia kidogo.