Hatuwasiliani ila nataka ajue simchukii

Mi huwa nna taratbu zangu,napoachana na Dem nahakikisha kila sehem namuondoa,mitandao ya kijamii kote harudii kuniona.maisha yanaendelea.

FAIDA :unawahi kumsahau na kumuona wa kawaida.

HASARA:weng wao baada ya muda hunitafuta getho wakilalamika,mwisho wa sku nawanyandua Tena.
 
Hahahahaha mkuu walisha kuvuruga mpaka hatua ya huwataki daah
 
Wewe bado hujafanya maamuz acha kujikoxha. Kama uliamua kumuacha unataka ajue humchukii ugundue nn kama uliacha piga chini na kama bado unampenda rudiana nae acha kujitesa.
[emoji16]Nampenda sana ndio,hata mahusiano yetu nliyavunja ili nisiumie zaidi maana alibadilika

So nataka ajue tu kwamba simchukii hata kama no halla going on
 
Nilitaka kushangaa hii comment iwe ya mtu normal... lakini mimi nilitegema utakuwa mzee wa hit and run loh kumbe ndugu yangu umeumizwa vibaya mno
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unataka kutengeneza mazingira ya kupasha kiporo[emoji1787]
[emoji16]Nakapenda sema nikajinga nlitaka nikaoe kabisa nikagundua kana asili ya kupenda wanaume(Makhirikhiri)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…