Hatutaki "shikamoo" zenu

Wahivo inakua ni starting point tu



Cc Smart911
Kuna demu mmoja hiv mkubwa kwangu yupo kwenye 30's aliniambia "Amon hujambo"nikajibu " sijambo Shikamoo"aiseee alinuna huyo hadi leo hii hatusalimiani dadeeeki..
 
Hutaki shikamoo kwa utoto gani ulionao??

[emoji23][emoji23]ht ivo izo izo shikamoo sizani kama hua ni za serious
Hata mi mwenyewe nazishtukiaga zile sio "shkamoo" za ukweli...lengo lao watutoe kwenye mood ya kuomba papuchi..na kwel kuna baadhi ya watoto walifanikiwa wengine nimekula dah ila niseme ukwel tuu yan mi nikisikia hili neno "shikamoo" ninapoanza kutongoza nanyong'onyea kabisa yanii nakuwa mdooogo [emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
Watakuwa madem wa daraselam hawa ,wanakuandaa kisaikolojia kukupiga mizinga?
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 

Kaka kubali ukubwa, ukubwa huja wenyewe wala hupigiwi ngoma, ukiona sjikamoo zinazidi ujue tayari umri umesonga, badili tabia, fanya ibada kuitafuta pepo
 
Kaka kubali ukubwa, ukubwa huja wenyewe wala hupigiwi ngoma, ukiona sjikamoo zinazidi ujue tayari umri umesonga, badili tabia, fanya ibada kuitafuta pepo
Kwel mkuu!!lakin mi nashangaa nikiwa kawaida tu kwenye Mishe zangu hakuna hata mtu mmoja anayeniamkia ila nikimuona mtoto mzuri nikitaka kumtongoza tu hapo ndo "shikamoo" inapojitokeza sasa..lakini sehemu nyingine hawaniamkii
N.b wanawake tu wanapenda kuniamkia amkia pale ninapoonesha nia tuu
 
Shikamo kwa wadada sasahivi ni fashion tu kama ilivyo kwa kubeba mabegi mgongoni.
 
Shikamoo haizuii kitu chochote. Hata ukiitwa Baba au Babu poa tu. Friendly games ziko pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…