Hatutaki "shikamoo" zenu

Uzee wap wewe?? Mnabana tu hizo m.bu.nye !!nyie ndo mnawafundisha wadogo zenu watuamkie ili kutuvunja moyo eeehh??
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hahaha... Ni kujiongeza tu... Siyo kila shikamoo jibu lake ni marahabaa...
Tihtihtih vitu vingine kuanza direct siooo... wee tangu lini ukaniamkia!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeanza lini adabu hizo!!!?? Mi [emoji15]
 
Tihtihtih vitu vingine kuanza direct siooo... wee tangu lini ukaniamkia!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeanza lini adabu hizo!!!?? [emoji126] [emoji126]
Hehehe... Kama wewe unanipaga shikamoo ukinirembulia rembulia macho... Jibu lake siyo marahaba... Jibu lake ni mbio za farasi...
 
Hehehe... Kama wewe unanipaga shikamoo ukinirembulia rembulia macho... Jibu lake siyo marahaba... Jibu lake ni mbio za farasi...
Ulivo jiniaz sasa akili fastaaaaa ishajua lol upo vizureeee!!
 
Afu unaeza kuta kizee kabisa kinakuamkia bint shikamoo.... Mhmh hapo mi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]



Cc Smart911
 
Afu unaeza kuta kizee kabisa kinakuamkia bint shikamoo.... Mhmh hapo mi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]



Cc Smart911
Kumbe na nyie hamzipendi eeeehh..!!!.ngoja sasa asa hiv ntakuwa nawataim wao [emoji16] [emoji16]
 
I'm 25 lkn muonekano wangu ni 20 kabisa
I hate it lkn mbunye nabutua hadi za 40th


Ukiwa HB raha sana asikwambie mtu mlio na sura mbaya msijari kuna maisha ya peponi pia [emoji105][emoji104][emoji105]
 
I'm 25 lkn muonekano wangu ni 20 kabisa
I hate it lkn mbunye nabutua hadi za 40th


Ukiwa HB raha sana asikwambie mtu mlio na sura mbaya msijari kuna maisha ya peponi pia [emoji105][emoji104][emoji105]
Sura ngumu!!! shauri ya jibapa...!![emoji482] [emoji482] [emoji482]
 
Hutaki shikamoo kwa utoto gani ulionao??

[emoji23][emoji23]ht ivo izo izo shikamoo sizani kama hua ni za serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…