Hatuoi mpaka waache umalaya

Mbona wanawake wa kuoa wapo asee, tatni huko unakotafuta. Upande wangu mi nakutana na wengi tu kazi inabaki kuwa yangu.

Jitathmini..
 
Yeye mwenyewe Malaya,,,maana amelala na wanawake wote hao
 
tabia anayo nzuri tatizo kila kitu anataka nitatue mimi akitaka vocha,soda na tusandle nitoe hela mimi nimemchoka nimemwambia nimfungulie biashara kakataa kasema yy anapenda kukaa home apike

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahshhahshs mkuu hiyo pesa ya biashara hebu nipe Mimi nikaongeze kwenye miradi yangu.....huyo binti mpumbavu sana anapenda kupika????? Hiiiiiiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye mwenyewe Malaya,,,maana amelala na wanawake wote hao
Kwa hapo me & ke walikuw ni tatzo
lakini kiuhalisia wadada walio wengi ni shida

kuna kisa kifupi hapa

kuna jamaa angu alipata binti wakachumbiana
watu wakawa wanamwambia huyo binti achana nae hajatulia
yeye akakomaa tu akajua labda
haters tu wasiopenda maendeleo,,

katika mahusiano yao walikubaliana wasifanye mapenzi kabla ya kuoana

siku ya kwenda kupima afya ikafika
akakodisha usafiri wa pikipiki
bodaboda mbili
moja kwa ajili ya shemasi
moja kwa ajili yao wawili
wakafika hospital
wakapima afya zao ziko vizuri
yule mdada akapimwa mkojo kumbe alikuw amenasa tayr anamimba ya siku kumi na nne

jamaa alipoona mchumba wake ana mimba akakasirika sana
maana alikuw hajawahi kumbandua hata siku moja, walisubiri siku wakioana ndo afungue zawadi kumbe jamaa walikuw wanamgongea tu

kilichotokea mdada alipogundulika anamimba akamsihi mchumba wake
waitoe ile mimba jamaa akikataa
kamwambia aende akaolewe na huyo aliempa mimba

katka kisa hiki
unaona kabisa binti hakuwa mwaminifu kwa mchumba wake
alikuw anaiba kwa siri sema ndo hivo Mungu akayaweka hadharani hatimaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…