Braitfyucha
Senior Member
- Feb 22, 2019
- 163
- 187
kiukweli kujua kama ni bikra ni mambo ya ndani zaidi,,lkn tabia alizokuw nazo sio sahihi kwenye mahusiano yenukuna demu anavitabia vya kunipiga hela ya vocha na soda nimemtolea nje kanitema ila anadai yy bikra cjui kama sahihi
Wanapima sizeHawawezi kukuelewa[emoji3][emoji3] bado wanapima size
tabia anayo nzuri tatizo kila kitu anataka nitatue mimi akitaka vocha,soda na tusandle nitoe hela mimi nimemchoka nimemwambia nimfungulie biashara kakataa kasema yy anapenda kukaa home apikekiukweli kujua kama ni bikra ni mambo ya ndani zaidi,,lkn tabia alizokuw nazo sio sahihi kwenye mahusiano yenu
na inategemea lengo la urafiki wenu lilikuw ni nini
maana lengo lingehitaji kila mmoja kujitoa kwa mwenzake ili kutimiza ndoto yenu
kukosa lengo ni kukosa mwelekeo maana kila mmoja anakuwa hajui anahitaji nini kwenye uhusiano huo.
Na kama ame move on,mwache aende tu inaweza kuwa sio mtu sahihi kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu,,tabia anayo nzuri tatizo kila kitu anataka nitatue mimi akitaka vocha,soda na tusandle nitoe hela mimi nimemchoka nimemwambia nimfungulie biashara kakataa kasema yy anapenda kukaa home apike
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani mkuu kwa ufananuzi hapo namba tatu kwangu ndio bora tatizo wapo wachachePole sana mkuu,,
Maandiko yasema" Bora wawili kuliko mmoja"
when comes to relationships
kuna makundi ya aina tatu ya wapenzi
1.Wapenzi ambao kazi yao kwenye relationship ni kufuatilia boyfriend zao,,
utakuta anakuuliza huyo mdada ni nani yako,,
kwanini umechelewa kujib sms
unachat na nani
kwanini umechelewa kufika nyumbani
yaani watu wasiojiamini kabsa
muda wote anawasiwasi tu
hana kaz nyingne
ukioa mwanamke wa namna unaweza kupata shida sana
2.Wapenzi ambao kwenye mahusiano yake hana muda wa kuumiza kichwa chake zaidi ya kusubiri boyfriend wake amletee kila kitu
kundi hili huwa hawana wivu sana ila hakikisha atakachohitaji umpe
hawajihangaishi
ni ful kustarahe tu
utafute umletee
3.Wapenzi ambao ni wapambanaji,,wana akili ya ubunifu sana
Wanapenda sana pesa ila wanajua kuzitafuta kwa akili zao wenyewe.
ni kundi la wanawake ambao wengi wao wamepitia masaibu mengi magumu maishani mwao
Huwa wanajonzi kubwa maishani mwao
Wanapenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wenye akili ya maisha bila kujali una PhD ama ni darasa la saba
Ukioa mwanamke wa kundi hili kama mwanaume uko smart kichwani basi ujue umeshatusua
maana wanawake wa aina hii huwa wanauchungu na maisha sana
nusu+nusu=moja
Changamoto ni kwamba wengi wetu kwenye mahusiano tunabaki kuwa nusu badala ya kukamilisha kitu kizima
ukipata 1000/=
maana yake kipato chako kwa siku ni sh500/=
maana ktk iyo sh1000/ umemtafutia na mkeo akiwa anasubiri nyumbani kuletewa hapo bado hamjapata mtoto
ukiwa na mtoto maana yke kipato cha mwanaume ktk 1000 igawe kwa 3 ni sawa na sh300/per day
kadili familia inapozidi kuwa kubwa endapo
mwanamke akiendelea kuw golikipa
utakuta mwanaume miaka 30
anaonekana kama ana miaka 45
madhara ya kuwa na mwanamke golikipa
ambapo kama mpenz ama mke nae angeenda kutafuta
mngepata sh2000/= kwa siku
ambayo ni sawa na ±60000 per month
Sent using Jamii Forums mobile app
mhubiri anasema
hahaha kuna kisa kifupi hapa mkuuHivi mwanaume anakuwa Malaya kwa sababu wapo Malaya wa kufanya naye umalaya au mwanamke ndio anakuwa malaya kwa wanaume wenye tabia hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Fundisho zuri kabisa kujirahisi ili upate upendeleo fulani huo ndiyo umalayahahaha kuna kisa kifupi hapa mkuu
Kuna kaka mmoja alikuw anafanyakaz mashineni
mashine ilikuw ya kukoboa na kusaga
mwanamke akipeleka mahindi pale mashineni
kama anakoboa na kusaga
bill ya kukoboa anamsamehe analipia tu bill ya kusaga unga then
kwenye bill ya kukoboa wanaongea kwenda kubanduana
kwa njia hiyo alitembea na wanawake kibao pale mtaani
kuanzia mabinti mpaka wake za watu
isipokuw siku moja mke wa mchungaji akapeleka mahindi pale mashineni
jamaa kama kawaida akamwambia nitakusagia bure ila naomba unipe papuchi
mwanamke akasema siwezi kufanya kitendo kiuvo kama hicho
jamaa katumia kila mbinu ikashindikana
kwakuw jamaa alikuw amekata tamaa kabisa kuoa maana alikuw anawapata wanawake na kuwachezea kirahisi tu bila kuhangaika
lakini siku hiyo alikwama kwa mwanamke mmoja kati ya wengi aliokuw amezoea kujipigia tu kiulaini
kilichofuata alianza kufuatatilia amfahamu mume wa huyo mwanamke ndipo akaja kugundua kumbe yule mwanamke alikuw mama mchungaji
kwa ujasiri alimfuata mchungaji akamwambia
"Kaka naomba unioneshe ulikooa huyu mwanamke na mm nikaoe"
mchungaji akamuuliza kwanini unasema hivo ndipo jamaa akaelezea kisa kuw ametembea na wanawake wengi sana pale mtaani
isipokuw amekwama kwa mwanamke mmoja
kilichokuw kinamkatisha tamaa yule kaka kuwapata wanawake bila kuhangaika mbaya zaidi hata wake za watu
Tatitzo lipo kwenye kujirahisi
si ndo umalaya huo au
Sent using Jamii Forums mobile app