omba mfumuko wa bei ushuke,usiombe kupanda mshahara kamanda,utapewa mshara milioni mbili,kodi laki tisa,ndio umefanya nini?Ule utafiti wa kati ya watz 4 mmoja wao ni kichaa uko sahihi kabisa, yaani pamoja na ubovu wote wa serikali hii ambao ukiaanza kuuelezea kurasa 1000 hazitoshi bado kuna watu mnaona eti wanafanya kazi na wako sahihi bila shaka na wewe ni kichaa.
Unaona sasa ulivyo mpumbavu ni lini kijana wa tanzania alitembea bila stress na hii imeimbwa sana sema sifa kubwa ya mpumbavu ni kusahau mapemaUmepanic au? uongozi huu ni mbovu kama siyo sana ni zaidi na umempa sifa zaidi Kikwete na ameonekana kuwa kiongozi bora zaidi kuwahi kutokea TZ, na mimi nasema Kikwete ni rais wangu wa muda wote. Wakati wa Kikwete tulikuwa tumeiva bhana, no stress at all, leo vijana wadogo tunatembea na stress kibao za kazi na za familia zetu na tumekauka kama siyo kusinyaa na kama tukienda ivi uzee TZ utaanzia miaka 40 na life span ya mtanzania itashuka sana.
Hawa watoto wa nyumbu unafikiri watakuelewa mi nakumbuka kipindi cha awamu ya kwanza ya mkapa aliongeza mshahara kwa shida kweli alistopisha kuajiri ila uchumi uliimarika tena mkapa nakumbuka aliwaambia chama cha wafanyakazi hawezi kuongeza mshahara bila wafanyakazi kuongeza ufanisiomba mfumuko wa bei ushuke,usiombe kupanda mshahara kamanda,utapewa mshara milioni mbili,kodi laki tisa,ndio umefanya nini?
Mfumuko wa bei ukiwa chini sana,na ukawa stable hata upewe laki nane,itakufaa tu
Mwaka huu watu wanakwenda mapumziko,ishu sio tena kupanda nauli,ishu mabasi hayatoshi zimechukuliwa EICHER za mbezi-gongo la mboto zinapeleka watu mikoani ndio mambo yanayotakiwa bei zishuke,na kuwe na unafuu wa huduma za jamii
walidhani mabadiliko ni kuzungurusha mikono tuHawa
Hawa watoto wa nyumbu unafikiri watakuelewa mi nakumbuka kipindi cha awamu ya kwanza ya mkapa aliongeza mshahara kwa shida kweli alistopisha kuajiri ila uchumi uliimarika tena mkapa nakumbuka aliwaambia chama cha wafanyakazi hawezi kuongeza mshahara bila wafanyakazi kuongeza ufanisi
Mkizidiwa hamchelewi kukimbilia Kisutu. Lugha yako ngumu haibadilishi ukweli huu mkuu 'Serikali hii ni mbovu' kama huoni ubovu huu yawezekana juzi kati umeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya au mkurugenzi otherwise ubovu utaona tu kila nyanja piga uwa garagaza.Una
Unaona sasa ulivyo mpumbavu ni lini kijana wa tanzania alitembea bila stress na hii imeimbwa sana sema sifa kubwa ya mpumbavu ni kusahau mapema
Unamshambulia bure.,wengine huku tumesomesha watoto na wako makazini lakini wamekumbwa na gonjwa la stress wanashindwa hata kupokea cm za ndugu zao wakihofia kupigwa mizinga ilhal na wao wako "apeche".upandishiwe mshahara kwa kazi ipi unayofanya,kutwa upo JF
Wapumbavu wengi wameumbwa kuona makosa tu lakini werevu na watu wenye maarifa wameumbwa kuona mema na kubadili changamoto kuwa fursa ili kuwaletea binadamu wapumbavu kama nyie unafuu wa maisha, kwa hiyo wewe hutakuja kuona jema lolote hapa duniani either kwa mmeo au mkeo au hata kwa wazazi wako kwa sababu umechagua kuwa mpumbavuMkizidiwa hamchelewi kukimbilia Kisutu. Lugha yako ngumu haibadilishi ukweli huu mkuu 'Serikali hii ni mbovu' kama huoni ubovu huu yawezekana juzi kati umeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya au mkurugenzi otherwise ubovu utaona tu kila nyanja piga uwa garagaza.
Unafikiri basi walikuwa wanajua hata walichokuwa wanakifanya!! Nakumbuka miaka ya awamu ya kwanza ya JK kipindi hicho wakina Butiku wanamwandama sana kashuka pale Airport mwandshi mmoja akamuuliza swali akajibu watanzania asilimia karibia 70% maamuzi yao wanafuata mkumbowalidhani mabadiliko ni kuzungurusha mikono tu
Kosa kubwa.Nilipoona avatar yako imebidi nipite bila kusoma ulichoandika
Kusoma hamsoni mnakurupuka kusema hamna hela ya kununua ndege. Mnakurupuka sana. Huna uhakika unalalama tu. Kapitie bajeti ya serikali kasma za wizara husika.Sheria gani anafata yy budget hazifuatwi kama Bunge lilivyopitisha.Niambie kama kulikua na budget ya kununua ndege.afadhali asingefata budget Kweny Jambo ambalo linagusa watu wengi kama barabara hospital ama tren Maji unaweza kumwelewa.