[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huna akili, yaani kwa mtazamo wako ulitaka tujiandae kwa kutopandishiwa mishahara yetu Au ?
Elimu bure na kuongezeka kwa bei ya korosho na Pamba ndio maana ya kutiririka pesa kwa wanyonge.
Ila Nyumbu hawatakaa waelewe hili.
Wako bize kupangusa viatu vya Lowasa
Kashikiwa akili huyu.,swali langu kwake ni moja tu.Mkuu aya ya pili kutoka mwisho imepoteza mwelekeo wa hoja yako ambayo ulianza kuielezea vizuri. Huwezi kuvuka mto kabla ujaufikia. Unaionaje vision ya wapinzani ambao hawajashika madaraka ya urais kabla? Huyu aliyepo tayari ana mwaka na ni rahisi sasa kuona vision yake. Na watz wengi wao wameshaona tunakoelekea.
Halafu sio kweli kwamba kiongozi anayesimamia sheria huonekana kama dikteta. Hiyo ni dhana ya ajabu sana. Kwa nchi yetu rais anaapa kusimamia na kuilinda katiba(sheria) ya nchi. Ni ajabu kusema kwamba kiongozi anayesimamia sheria aliyoapa kuilinda aonekane dikteta. Kiongozi anaonekana dikteta pale anapoweka katiba aliyoapa kuilinda pembeni na kuongoza nchi kwa utashi wake, huyo ni dikteta tu, hana jina jingine.
Inawezekana kweli hatukujiandaa/ hatukuandaliwa kuyapokea mabadiliko kama kweli yapo. Nani wa kulaumiwa? Waluotutangazia mabadiliko, au sisi tuliokuwa tunashangilia neno mabadiliko bila kujua nini kinakwenda kubadilishwa!? Tuliulizwa tunataka mabadiliko ya aina gani zaidi ya pande zote mbili kudai zitaleta mabadiliko?
Kazi tunayo.,tukumbike tu kuna watu tunakumbana nao humu hawatembei,kusafiri(kuosha macho)hawasomi(majarida wala vitabu)hata kutembea dunia ukiwa umekaa hapohapo nyumbani(internet)kwenye mambo ya maana zaidi ya kuchungulia mambo yetu yale tuliyojaaliwa waafrica.Hivi ukifanya mabadiliko kisha yakaongeza ugumu wa maisha yangu (Kwa mfano nilikuwa nanunua kilo ya sukari shs 1,800 kabla ya mabadiliko, na sasa baada ya kuanza mabadiliko nikawa nanunua kilo ya sukari shs 3,000), unatarajia bado nishangilie mabadiliko hayo??? Watu wengine akili yao ni matope plus plus...
Wewe ni mpumbavu ulizoezwa kuongezwa mshahara bira kuongeza ufanisiHuna akili, yaani kwa mtazamo wako ulitaka tujiandae kwa kutopandishiwa mishahara yetu Au ?
Umepanic au? uongozi huu ni mbovu kama siyo sana ni zaidi na umempa sifa zaidi Kikwete na ameonekana kuwa kiongozi bora zaidi kuwahi kutokea TZ, na mimi nasema Kikwete ni rais wangu wa muda wote. Wakati wa Kikwete tulikuwa tumeiva bhana, no stress at all, leo vijana wadogo tunatembea na stress kibao za kazi na za familia zetu na tumekauka kama siyo kusinyaa na kama tukienda ivi uzee TZ utaanzia miaka 40 na life span ya mtanzania itashuka sana.Wewe ni mpumbavu ulizoezwa kuongezwa mshahara bira kuongeza ufanisi
upandishiwe mshahara kwa kazi ipi unayofanya,kutwa upo JFHuna akili, yaani kwa mtazamo wako ulitaka tujiandae kwa kutopandishiwa mishahara yetu Au ?
Ule utafiti wa kati ya watz 4 mmoja wao ni kichaa uko sahihi kabisa, yaani pamoja na ubovu wote wa serikali hii ambao ukiaanza kuuelezea kurasa 1000 hazitoshi bado kuna watu mnaona eti wanafanya kazi na wako sahihi bila shaka na wewe ni kichaa.upandishiwe mshahara kwa kazi ipi unayofanya,kutwa upo JF