Mkwawa
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,334
- 1,465
Nchini Tanzania tatizo letu kubwa na mkwamo wa nchi ni pale vyombo vya kufanya vetting vimekufa kabisa tunaishi kwa mihemko- hatujali kuhusu tabia zao wala matendo yao maovu.
Hili linatufanya tunaongozwa na wasio na sifa na kuwashangilia wezi na mafisadi.
Tunauwa vipaji na karama za wengine kwa kukumbatia wabovu.
Hasira, fedha, kiburi na matakwa binafsi ndio yanaangamiza taifa. Visasi na kutosikiliza ushauri.
Upande mwingine self ambition zinauwa taasisi. Wakati wenye meno self thinking run the show.
Tumekwama kwenye tope - nani wa kututoa??
Tanzania inatoa jasho la damu hakuna wa kulifuta.