Nini ww hebu mwache aseme kinakuuma nini?Mods Unganishi hii mada na thread husika then FUNGIA huyu Member
Mods Unganishi hii mada na thread husika then FUNGIA huyu Member
Huyu ndenge wa uchumi ni mpuuzi tuu maana anataka kusupress opinion ambazo haziendani na mawazo yake. I dare say it because its a fact, ni mpuuzi tuu..
Afungiwe kwa kipi na wapi hii thread inapohusika zaidsi ya hapa? Hizi si ndio siasa zetu siku hizi? Hili ni zao la waraka wa Kanisa na hadi leo thread inaendelea . Kwani Kingunge aliposema si mlimbeza? Wacha tuvune tulichopanda.
Mods Unganishi hii mada na thread husika then FUNGIA huyu Member
Sasa ndugu yangu, naona wewe uko hapa kupiga soga tu, hapa kuna Threads zaidi ya Mbili zinazohusu hii habari, wewe kwa u Great Thinker wako huoni kama kuna umuhimu wa Kuziunganisha ili zilete Mantiki.
Come On Ngekewa
Mi ni mkristo kamili kabisa.......ila hii kauli mbiu yao sioni kama ina ubaya kama ikichukuliwa ya kitaifa kuliko kidini zaidi........lkn kutakuwa tunabomoa kama tutaanza kuseme dini hii ndio ilileta uhuru......hii ndio ilileta hki na kile.
Naona kwa thread hii unaona ziko nyingi. Unajuwa kuwa hivi sasa ishaingia ya Kardinali Pemgo ikizungumzia waraka wa wakatoliki? Ziangalie ziko ngapi? Reaction kama yako ndio sawa na ya serikali yaani tunakuwa double standard. Wacha Threads ziendelee isiyo na faida itakufa natural death.
Haya wakuu tuendelee kujadili ishu
Ila Mkuu MTM kuna zingine hizi hapa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/37314-waislamu-kutoa-waraka-wa-uchaguzi.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/37285-waraka-wa-waislamu-serikali-yachimba-mkwara.html
https://www.jamiiforums.com/habari-...u-kuzindua-mwongozo-wa-uchaguzi-alhamisi.html
BTW, nimekusoma Mkuu tuendelee kukata ISHU