Hatuchezi vs Hatuchezi ng'o!

Hatuchezi vs Hatuchezi ng'o!

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,289
Reaction score
5,741
Simba: Hatuchezi hadi waliovunja kanuni wachukuliwe hatua

Yanga: Ooh,walikuja na mbuzi,na vizee vifupi,imagine mabasi mawili,mabaunsa mnajuaje ni wa Yanga,bodi ya ligi mna pendelea,rais wa TFF ajiuzulu,ameinyanyasa sana yanga,kwanza shirikisho timu zilizopo sio mabingwa

Kombe la muungano ni bora kuliko medali zetu za CAF,sisi hatuna imani na bodi ya ligi,lakini nadhani hata tff wajuzulu,Simba ana penati nyingi,kwa nini dakika ziongezwe 20 tena ni 30, wanatunyanyasa sisi yanga,tunaenda CAS,oh kwa nini CAS wameungana na Simba ,bodi ya ligi watoe sababu za kuahirisha mechi,tff wajiuzulu,sisi HATUCHEZI,moshi wa njano umetoka,inaumiza sana,sasa HATUCHEZI NG'O!ila tutacheza bodi ya ligi wakitoa sababu ,Simba hachukui CAF,ila tunaumia jamani HATUCHEZI,HATUCHEZI NG'O!
 
Simba: Hatuchezi hadi waliovunja kanuni wachukuliwe hatua

Yanga: Ooh,walikuja na mbuzi,na vizee vifupi,imagine mabasi mawili,mabaunsa mnajuaje ni wa yanga,bodi ya ligi mna pendelea,rais wa tff ajiuzulu,ameinyanyasa sana yanga,kwanza shirikisho timu zilizopo sio mabingwa,kombela muungano ni bora kuliko medali zetu za CAF,sisi hatuna imani na bodi ya ligi,lakini nadhani hata tff wajuzulu,simba ana penati nyingi,kwa nini dakika ziongezwe 20 tena ni 30, wanatunyanyasa sisi yanga,tunaenda CAS,oh kwa nini CAS wameungana na Simba ,bodi ya ligi watoe sababu za kuahirisha mechi,tff wajiuzulu,sisi HATUCHEZI,moshi wa njano umetoka,inaumiza sana,sasa HATUCHEZI NG'O!ila tutacheza bodi ya ligi wakitoa sababu ,Simba hachukui CAF,ila tunaumia jamani HATUCHEZI,HATUCHEZI NG'O!
😀😀😀😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom