Hivi CHADEMA wana mpango wowote wa kutumia picha kama hizi (ambazo ni nyingi na upatikanaji wake ni rahisi) ili kuwaelimisha wananchi kuhusu shida na ufukara vinavyoikumba Tanzania chini ya udhalimu wa CCM?
Natoa wito kwa watendaji wa CHADEMA kutengeneza fliers zenye ujumbe na picha za kuonesha mateso wanayoyapata wananchi ili wananchi wengi zaidi waweze kuelewa ujumbe wa "TANZANIA BILA CCM, INAWEZEKANA"