mimi nimekosea kdogo kujaza loan form, kuna sehemu ya kujaza namba ya kitambulisho cha kuzaliwa, nikakosea kwa kuandka namba a cheti cha secondary education , najarbu ku edit inagoma kabsa ...... naomben kujua nifanyeje apo kwakel nisije nikakaa tena mwaka nyumbani kama mwakajana sikupata mkopo nikashndwa kwenda chuo....