Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
mpo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka 7! tangu mfunge ndoa na mmebaatika kupata watoto wawili! ghafla mmoja wenu mme/mke anagundulika ana HIV+ je ukiwa km mume/mke uammuzi gani utachukua? wewe ambae upo negative kwa maana HIV-? 1.kuendelea na ndoa km ilivyokua awali? 2.kuachana nae? karibu wana jf...........
Passion Lady, na mimi nangojea jibu hapo!... na ww ungejitosheleza vp kwenye hiyo sekta ya hbr za kikubwa?
Passion Lady, na mimi nangojea jibu hapo!
Kitaalamu mkishakuwa hivyo maana yake huyo aliye hana ngoma hawezi tena ambukizwa ngoma na huyo mwenzi wake aliye athirika au na mtu mwingine yeyote, yaani mwili wake katu hauwezi kupata ngoma. Wapo watu wengi tu kwenye ndoa ambao mmoja kaathirika mwingine mzima. Endelea tu na mkeo/mmeo kama kawaida, hawezi kukuambukiza. Ewaaaa ss ww umekuja nilipokua napataka hv hii inakuwaje?? mmoja anao mwingine hana na wapo kwenye mahusiano??