Kama anatambua kuwa ule ni mwili wake na ana uhuru nao basi asingelijipeleka huko BASATA kujisajili...
Kujisajili BASATA maana yake alikubali kuwa atalinda sheria na maadili ya Kitanzania na hapo ndipo alipojifunga...
Jamani Basata hilo ni uonevu huo ni mwili wake ana haki ya kuutumia anavyotaka mmemuona Shilole tu, kigodolo hamjakiona mpaka mnamuadhibu shilole!
Kila mmoja na utafutaji wake wa pesa, ndio maana kuna biashara za aina tofauti, ngoja nikuulize swali hilo ziwa alilolionyesha ni la kwako au wewe umepungukiwa nini, achana na mabo ya kizamani kuna mabo mengi ya kujadili kutuongezea kipato sio kukaa na kumbeza mtu kafanya kosa fulani.
Jihesabu wewe umkamilifu kiasi gani, je kwenye amri kumi za Mungu ni ngapi umezitendea haki, usitoe kibanzi kwenye jicho la mwingine wakati wewe ndio muuaji mkubwa.
Khii...I know u are on the same channel,
watu km wewe hawanipi headache
My country is my business i will always fight to maintain its good reputation wherever and whenever as long as I can.
Hivi umesoma ulicho kiandika?
Sijui kwa kweli ila kama ndivyo basi siku ya show watakuwa wanazidisha dozi. Ila nina mashaka na mahusiano yao, jamaa alitakiwa awe mshauri wake lakini inaonekana yupo yupo tu. Hivi kweli mpenzi wako anavaa unamwona alafu unamsifia wakati kapiga bra tu?
Kwa ujumla ni rahisi kuwa star ila ni vigumu sana kuendelea kuwa celebrity (ku-maintain) na hili linasababishwa na wasanii kutokuwa na washauri hasa waliosomea sychology si kana kwamba hawapo ila wanaogopa gharama.
You know what! Keep quite on people stuff. Let us makes some money.
Hahahaaa...
Una muda gani humu Jf:what:
Point zako hazina mashiko wala direction , unashabikia upuuzi tuu bila kujua undani wa mambo.
Nenda kwanza kafute uanachama wa shilole BASATA Ndo uje na ushabiki wako hapa.
unauza sh. ngapi kwa kuwa naona unafanya advertisement free of charge ?
Basata na wewe wote mnamtazamo chanya. Hivyo vigodoro hawavioni, wamemuona Shilole tu. Na kama maadili kubadilika ni miaka mingi na sio Shilole.
Huna pesa ya kunipa, na si deal na mtu mwenye IQ ndogo kama wewe una mawazo mgando.
Wivu tu unakusumbua, huna lolote mwenzako anatengeneza pesa wewe kaa uumie na roho yako ya mbaya.
Wew si unauza papuchi? kwanini IQ ndio itakugegeda?
From know stop internet in your country cause many peoples get bad stuff from it. This will be a good way.
Nadhani umesikia au umesoma kuhusu mtambo uliozinduliwa leo kufuatilia uchafu kwenye mitandao hivyo usijali mchujo unakuja ingawa ni mchungu