Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Kwa Upande wenu Patamu, ila kwa upande wangu nimefika Pachungu

Eniwei, Election inakusubiri huku
Bro haijalishi mzee au dunia itapinga.
Chukua hicho chuma.
Ukiwa na mwanamke mwenye misimamo mikali na akili kubwa kama hiyo hakika hautajuta.

Ninachukia mwanamke mlaini neno moja la pili eti anakuvulia...kirahisi kuja..kirahisi kuondoka..

Najua kuna kazi sana kuhandle mwanamke wa chuma lakini faida ni nyingi kuliko faida.
Komaa kiume
 
Kama nakumbuka mwanzoni kabisa ulisema
Annie alikuwa na wewe kipindi huna kitu na aliwahi kukubustisha Enzi unasoma......mpaka sasa sijaona kosa ka Annie...ni either upendo umeisha au distance....as wanaume huwa hamuwezi kuvumilia umbali....unless Kuna issue umeficha kuhusu mahusiano yako na Annie....Familia ya Carren Ina nguvu sana ila hautaweza kuitawala kwasababu huna mabavu....utakuwa submissive kwao till your last breath...simaanishi Carren Ana akili kukuzidi ila she can twist you whatever she want...in short usiache mbachao kwa msala upitao
 
Aysee


Eniwei, Counted to Caryn
 


Sijaficha chochote Madam, na upendo haujaisha ila tu umegawanyika


Eniwei, hii kura tunaihesabu kwa Annie au?
 
Accountat atakuwa na nyota ya bund ,au ni mong'o .yaan hakuna anaemtaja wakat yy ndo aliekuleta kwenye hiyo office
 
Ulimaanisha kwa Caryn ndio siwezi kusema chochote sio

Eniwei, Vote counted to Annie
 
Kwa kura mi ni Carryn coz ana tabia nyng km zng.machachar sana,na trust me,mi ni mwanamke mwenzie nina experience ,yaan ukishamkula huyo caryn ,atakua msweet huyo na ukal utaisha kwako,,nyeg* zikizid mwanamke huwa anakua mkali na misimamo sana tena kwa age yake,sasa ww umependwa utapewa yote in kimambi's voice
ana muda hajakunwa huyo,na inaelekea yuko single kwa muda mrefu,au uenda akawa hata bikra..
 
Bwana Bwana, mimi nipo 50/50 mwenzako
 
Sasa hapa achague anampenda nani yeye mwenyewe
Maana navyoona ataanza kumpenda Careen kwa peer pressure ya humu plus Ana secure kibarua chake then ampende Annie kwa sababu ametoa naye mbali
 
Me naona kama umepiga penyewe yani
 
Aisee, naomba nitafute wasaa mzuri wa kuonana na wewe, una mengi ya kunieleza


Eniwei, Vote counted to Caryn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…