Hatimaye UK wamefanya yao baada ya kutusubiri tuchague baina yao na Tanzania

Waingereza ni wanafiki mkiwafuata mtaumia wanachofanyiwa na nchi za EU ndo wanataka kuzifanyia nchi za Africa wao ndo source ya covid mutant 1.1.7! sasa inakuwaje kuanza ku-dictate terms?

Bullocks!

Ila itakuwa wamewanyima mkopo ndo maana Kenya imedinda!

Tony254
 
Hahahaha! Pimbi nyinyi,mna fikiri Sisi tunapelekwa mapunda bila akili,Sisi tuna msimamo na hatubadiliki hata baada ya serikali mpya kuingia madarakani, endeleeni kuwalamba makalio wazungu huku wakiwadhalilisha kiasi hicho!
 
Fight yo fights msilete mambo ya tumewachagua wakati uzungu umewashinda mnaanza piga kelele NAIROBARE lock down itolewe mtakufa wenzenu wamezoea curfew kwasababu ya mazingira yao hasa kipindi cha winta. Huko tropical hasa huko kwenu semi-desert na tomaduni za curfew wapi na wapi
 
Hii imewauma wakenya Sana,najua huko twitter wamejaza server kwa mapovu
 
Ndio mjue kwamba bila Tanzania Kenya haiwezi kufanya lolote, punguzeni ujuaji mwingi Tanzania ndio nchi muhimu zaidi kwa Kenya hapa duniani

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Aaa wapi, Tz hampo hata kwenye orodha ya Top 10 partners wa Kenya kibiashara. Cha ajabu ni kwamba Uganda wapo, Kenya huwa inatazama masuala kama haya kibiashara zaidi, sio kiuswahili swahili wa sijui kupendana na vitu kama hivyo ambavyo havina tija.

UK wenyewe sasa hivi wamebanwa na majirani wao wote ndani ya EU, kisa COVID. Kwahivyo kwa sasa hawana umuhimu sana kwa nchi ya Kenya.
 
Hii imewauma wakenya Sana,najua huko twitter wamejaza server kwa mapovu
Wakenya hawana huo muda. Mzee ambaye alikuwa na chuki na nchi ya Kenya, hadi akatia moto vifaranga vikiwa hai hayupo tena.
Alafu vipi kuhusu hao hao UK na kwamba wao ndio wanaongoza kwa uwekezaji nchini Tz? Au huwa mnakumbuka kwamba ni mabeberu linapoibuka suala ambalo linahusu nchi ya Kenya?
 
Nani amekuambia kwamba tuliwaomba mkopo? Tumepiga hesabu za haraka haraka tukaona kwamba kufungiana border na TZ itatucost zaidi maana tutazuia mizigo za nchi hizi mbili kupita. Uzuri UK haizuii mizigo ya Kenya kuingia, inazuia tu wananchi wa Kenya kuingia lakini biashara inaendelea kama kawaida. Inaendelea kununua chai na maua ya Kenya. So we chose the lesser evil between the two options. Maana nyinyi tunawajua ni vichwa mbaya tukizuia raia wenu kuja huku mtazuia mizigo yetu kuingia TZ kama Magu alivyofanya. Yaani hamna proportionality kabisa. Badala na nyinyi mzuie Wakenya wasije TZ, mnazuia hata na mizigo za Kenya zisije TZ ilhali sisi tulizuia wananchi wenu pekee ila tuliruhusu mizigo zenu kupita.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 haaahaahh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 heheheheheeee
umeamua utoe ya moyoni kabisa
 
Acheni ujinga Kenya mlipaswa kufunga mpaka na UK Corona iko huko wanakufa mania kwa siku huko.east Africa kwa siku hakuna vifo hata 20.
Wamesaidia kutosambazia Corona.
 
Hahahaha,, kwa hiyo kati ya UK na Tanzania mumeamua kuchagua Tanzania sio?. Wewe tatizo lako ni uelewa mdogo wa mambo, Tanzania ni muhimu kwa Kenya kuliko nchi yoyote, wacha kifikiria biashara pekee, fikiria mambo ya msingi kwa wakenya,.

Kenya mnafanya biashara na UK kwa bidhaa ambazo sio muhimu, kama maua na chai, wakati Kenya inategemea chakula na "raw materials" toka Tanzania, japo bidhaa za Tanzania ni low values, lakini ni muhimu kwa maisha na viwanda vya Kenya.

Pia Kenya inaitegemea Tanzania ili kupitisha bidhaa zake kufikia masoko ya nchi za kusini mwa Africa,

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wacha kupoteza mada, linalozungumzwa ni vipi kati ya UK na Tanzania, Kenya imeamua kuichagua Tanzania na kuachana na Mungu wake wa miaka mingi?, kweli Tanzania ni baba Lao

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi siku hizi wakenya hamuogopi kuambukizwa Corona toka Tanzania badala yake mnaogopa zaidi kufungiwa biashara na Tanzania?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
ni juzi tu hapa tumetoka kumfariji jirani kwa masaibu yaliyomkuta.... hivi hata bado hajakauka machozi,,, leo hii unamuambia ''usije kwangu utaniambukiza ujinga''.... hii ni haki kweli???
UK wakae kwa kutulia kwanza, hatutaki kumpandisha presha Mama SSH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…