Hatimaye uhusiano unaendakuisha

Man up!! my bradha .

Mshauri akafute hizo tatoo kwanza Kama haiwezekani at least zile za kuonekana zifutike

Mpe hata kibendi
Ndo nawaza hko...ila itabid nifanye hvo tayar nikiwa n dem mwingne ntakaemwoa
 
Sasa kumsaidia mwambie ukweli yeye mwenyew atalia mwisho atanyamaza atazoea ila Dunia kumbuka Dunia inajizungusha
Yan kwa upande wangu dunia imeshajizungusha sana.nishatendwa sana huko nyuma enz za chuo..i guess dunia imeshajizungusha mkuu
 
Brother unatafuta kupigwa zongo Dada wawatu umchezee wee halafu umuache
 
Wakati Diamondi anazaa na Mobeto huku Niki wa Pili anazaa na Joan Temu

Wakati Diamondi anasifia anampa matumizi Hamisa, Nikki anasifia wa kwake kuongoza CPA Tz nzima

Maisha ni kuchagua na kupanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…