Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Kuna wataalam hapa ndani huwa wanafanya hayo, na inawezekana kwa RISK KUBWA.ivi mkuu unaweza kuilazimisha simu iwe kwenye version nyingine yeyote ata kama wao hawajaitoa.?
asante mkuu....Kuna wataalam hapa ndani huwa wanafanya hayo, na inawezekana kwa RISK KUBWA.
Muone huyu Chief Mkwawa
Sony Z3 bei gani mkuu??(mtumba au dukani)Sony Telecommunications walipo ruhusu simu zao hasa uzao wa Xperia kusonga mbele kwenye OS ya Adroid hasa kuna baadhi ya OS Version kama Marshmallows ilizingua kwenye kutunza Chaji tofauti na Lollipop.
Nakumbuka Z3 yangu ilikuwa ina kaa na chaji kwa siku mbili na na masaa kadhaa pasipo kuzima Data na kuitumia pia.
Lakini nilipo pokea Marshmallow nilijuta, simu hata siku ilikuwa haimalizi nikiacha Data na brightness ikiwa 100%
Leo nimepata system updates naona wamerudisha ila battery optimization ya lollipop.
Wale wa Uzao wa Xperia Z mnaweza cheki [emoji3]
Mimi nilinunua laki nane na nusu ikiwa mpya kabisa (nilimtumia pesa jamaa kwa OBAMA) na ni kitambo tangu mwezi wa 4/2015 sijajua kwasasa bei zake zimekaajeSony Z3 bei gani mkuu??(mtumba au dukani)
Mkuu hii kitu naitamani sanaMimi nilinunua laki nane na nusu ikiwa mpya kabisa (nilimtumia pesa jamaa kwa OBAMA) na ni kitambo tangu mwezi wa 4/2015 sijajua kwasasa bei zake zimekaaje
Kama upo Bongo jaribu kupita kwenye maduka ya Posta, na hapa ndani kuna jamaa anafanya door to door marketMkuu hii kitu naitamani sana