godson njamakuya
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 170
- 193
[emoji2]Sisi pro- Ukrein tunapita kimya kimya kwenye Uzi huu
Yeah! Hakuwekewa vinginevyo asingeruhusiwa kupigana ndani ya USSio bure ina maana wamarekani hawakumuwekea kikwazo chochote huyo bondia
Nimefurahi sana Canelo kupigwa
Teh tehNimefurahi sana Canelo kupigwa
Picha tafadhaliDimtry Bivol bondia kutoka Russia hatimaye ameweza kumshinda kwa points, bondia machachari kutoka Mexico Saul Alvarez Canelo katika pambano la raundi 12 lililofanyika Las Vegas. Pambano lilianza kwa Canelo kupiga ngumi mfululizo huku mpinzani wake akimsoma. Bivol alionyesha utulivu na kushambulia kwa umakini mkubwa akipiga combination za uhakika zilizoingia sawasawa kwenye mwili wa Canelo, ambaye hakuamini, kwani kwenye press conference alikiri Bivol ni bondia mzuri, lakini aliisema atatumia uzoefu wake na tactics ili kumshinda. Haikuwa rahisi kama alivyofikiri kwani mpambano ulikuwa mgumu, wote walikuwa wakishambuliana kwa zamu, lakini alionekana Bivol kutumia vyema urefu wake uliomsaidia kurusha ngumi akiwa mbali na Canelo ngumi zilizompata vyema. Mwisho wa raundi ya 12 alitangazwa Bivol kumshinda Canelo kwa points baada ya kupewa ushindi na majaji watatu. Hii ni mara ya pili kwa Saul Canelo kushindwa, mara ya kwanza ilikuwa alipopigwa na Floyd Mayweather Jr, "Team Money"
Alikuwa anajiona mwamba sana 🤣🤣🤣🤣ila hata hivyo hongera yake,amejitahidi.Teh teh
Najuaga humkubaligi
Ova
Huenda watakaporudiana Bivol atampiga kwa KOHongera kwa BIVOL, japo nilipenda ashinde kwa TKO au KO
Yeah! ni kweli amejitahidi kuvurumisha makonde mazito, lakini akazidiwa na Mrussia.Alikuwa anajiona mwamba sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila hata hivyo hongera yake,amejitahidi.
Ingia youtube andika Canelo vs Bivol utauona mpambano wotePicha tafadhali
Wamekubaliana warudiane?Huenda watakaporudiana Bivol atampiga kwa KO
Unapobadilisha weight mara nyingi huwa si rahisi kuwa kwenye ubora wako wa juu, amejitahidi sana hata hivyo kucheza round zote 12Yeah! ni kweli amejitahidi kuvurumisha makonde mazito, lakini akazidiwa na Mrussia.
Canelo amesema lazima warudiane, haamini kama kazidiwa kwa points na Dimitry BivolWamekubaliana warudiane?