Karelis ni mchezaji mwenyekipaji kikubwa sana na kamuacha mbali samatta.ila tatizo la karelis si mzuri kwenye kukaba, na hicho ndicho kinachomfanya kocha ampange samatta sana kuliko karelis.Ila kwa sasa inaonekana kocha anataka kutengeneza combination ya karelis na samatta.itakuwa bonge la combination.
Karelis anaonekana ni mzoefu zaidi kuliko Samatta, na pia amezoea sana hiyo ligi, na ana nguvu kuliko Samatta ila Samatta ana kipaji kikubwa sana kuliko huyo Karelis halafu anacheza kwa ajili ya timu. Naona yeye ndio anampatia pasi Karelis, lakini sioni Karelis akitoa pasi nzuri kwa Samatta. Kama ulivyosema combination ya wawili hawa itakuwa matata sana ambapo Samatta analazimika kuwa mpishi kwa ajili ya Karelis
Mkuu Hata hivyo anajitahidi sana anatakiwa he maintains his professional
Yaan mech 15,anafunga goli 5 tu!!!! Hamna kitu hapaWakuu kama kichwa cha habari hapo juu muda huu kuna mechi kati ya genk anayochezea mtanzania Mbwana Samatta na sporting charleroi mpaka sasa timu ya samata inaongoza goli 2 huku akiwa amefunga goli la pili ni mechi ya kuwania kufuzu kucheza mashindano ya europa ligi
Kahusika kwenye magoli matatu ya mwanzo ile penalt goli la pili na la tatu.Yeah kweli mkuu, mfano leo amefunga goli moja, lakini kwa aliyefuatilia ile game pia yeye ame assist kupatikana kwa goli jingine, na inatokeo hivyo mara nyingi
Yaan mech 15,anafunga goli 5 tu!!!! Hamna kitu hapa
Atafute tu mzungu amzalishe apate visa ya kuish ughaibuni la sivyo atarubuniwa na makandambili fc
Bwana mdogo Punguza presha, mimi nimeangalia fainali za kombe la dunia kupitia Itv [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Km hujui chochote kuhusu mpira sio lazim naww uchangie 2 km wenzio, unajua hazard amefunga goal ngap msimu uliopita? Vp wayne Rooney? Unajua km giroud alikaa match 12 bila goal? Depay kafunga goal ngap msimu mzima? Kufunga 2 sio kila kitu kwa forwad at mchango wake 2 unahitajika uwanjani, wewe na aliekuja kuuliza et who is mbwana samatta by the way wote wachawi 2
Na hapo bado jamaa anahangaika na Adaptation ya mazingira pamoja na wachezaji wenzie kwani amenunuliwa dirisha dogo
Unajua balaa la Giraud kabla ya kwenda arsenal?Km hujui chochote kuhusu mpira sio lazim naww uchangie 2 km wenzio, unajua hazard amefunga goal ngap msimu uliopita? Vp wayne Rooney? Unajua km giroud alikaa match 12 bila goal? Depay kafunga goal ngap msimu mzima? Kufunga 2 sio kila kitu kwa forwad at mchango wake 2 unahitajika uwanjani, wewe na aliekuja kuuliza et who is mbwana samatta by the way wote wachawi 2
Na hapo bado jamaa anahangaika na Adaptation ya mazingira pamoja na wachezaji wenzie kwani amenunuliwa dirisha dogo
Hahahaha, jamaa katema yai vizaSi umalizie tu kwa kiswahili...dah mtanzania bana akishajua translate mahala ilipo ni sheeda haswaaa
Mhurumie tu... Na atapangwa na west ham kabla ya makund teh tehduuh
gwa myetu umenifurahisha nkamu!hv kithungu kilikuja na meli au elopleni?we shilole umeshamalizana na Vanessa?
Unajua balaa la Giraud kabla ya kwenda arsenal?
Unajua balaa la hazard kabla ya kwenda Chelsea?
Unajua balaa la depay kabla ya kwenda man. U?
Unajua balaa la Rooney kabla ya kwenda old Trafford?
Mchezaj anayetafuta kutoka hawez akafunga goli chache hivo a, la sivyo ataishia hapo hapo
Halafu usije ukajiona unajua mpira kuliko wengine, kumbe hamna kitu
Hahahaha, jamaa katema yai viza
Malkia atuhurumie tu
Yaan mech 15,anafunga goli 5 tu!!!! Hamna kitu hapa
Atafute tu mzungu amzalishe apate visa ya kuish ughaibuni la sivyo atarubuniwa na makandambili fc
Yaan mech 15,anafunga goli 5 tu!!!! Hamna kitu hapa
Atafute tu mzungu amzalishe apate visa ya kuish ughaibuni la sivyo atarubuniwa na makandambili fc
Kapotea yeye!Hv yule jamaa aliyeweka uz et samatta kap0tea yuk0 wap?
Samatta ndo msimu wake wa kwanza ulaya, tena ameingia kupitia dirisha dogo, katika mechi hizo 15 mechi karibia 10 anaingia Dakika ya 70, unamlaumu vipi? Subiri msimu ujao ili mwisho wa msimu ndo uanze kumlaumu!karibu mechi ya 20 leo ana goli 5 tu si afya sana kwa straika hasa kwa ligi za wenzetu