Binafsi nampa pongezi Diamond, ni juhudi kubwa amefanya kuimalisha lebel yake hadi kufikia kiwango cha kuanza kusainisha wasanii wakubwa kama Mavoko. Nina imani akiendelea na juhudi hizi atasainisha wasanii wakubwa zaidi. Na sasa nimemuelewa vinzuri kwa nini alisema yeye haoni lebel yoyote ya kuweza kumsaini yeye.