Kweli mvumilivu hula mbivu na Kimya kingi kina kishindo. Bi dada baada ya kusimangwa sana anapenda bata na hana uwekezaji, hatimae ameonyesha mjengo wake mpya wa maana.
Mwanamama huyu maarufu mitandaoni ni mke wa mwanasheria alieamua kutupia kisogo uanasheria na kuamua kua mshereheshaji wa shughuli mbalimbali haswa sendoff na harusi.
Alionekana pia akitangaza ujauzito wake kwa bashasha na furaha ya kihamia jumba jipya. Kongole kwake sana na apewe maua yake.
NB: Inaonekana biashara za china na uturuki zinalipa sana kwani macelebrity wengi siku hizi wanafanya hizo biashara pamoja na kuuza mafuta ya ngozi.