boga la kiangazi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 504
- 684
asante kwa kumuenzi ndugu cheHuwezi kuikomboa nchi na kuitoa kwenye umasikini kwa kutegemea watu wanaowaza pombe,ngono na kucheza kamari,
Che-Guevara.
nishapima sio mda mrefu mkuu....Ushakanyagishwa umeme dogo...kapime.
sikua na nia ya kumchezea tu mkuuHilo jina la "singo maza" litawaponza vijana wengi sana.
Ameng'amua kuwa unamchezea tu. Pole sana
salaam sana wakuu katika jf.nizaidi ya miezi miwili sasa ambapo nlikutana na single mother fulani hapa kwa mtaa ambapo kiukweli nilimuelewa kwa kua alikua analipa yani full vigezo kuanzia sura na vingine vingi bila kusahau chura wa maana.baada ya mazoea ilifikia hatua ya kua wapenzi huku mzee nikijipatia mzigo murua uliopelekea perfomance yangu chaputa kupungua.asubuhi hii inaanza nikiwa na hangover za kutosha huku pemben kukiwa na bapa za k vant na jiran yake nyagi baada ya Jana kunitema eti wamerudiana na mchumba wake aliyekua amepoteza mawasiliano naye for a long time(siyo baba mtoto) so mm sina nafasi tena.
nmepata stress yani cjui sababu ni hiyo tu au kuna kingine zaidi
wasalaam
Kwenye utambulisho badala ya kutumia "mpenzi, binti, msichana, n.k wewe ukaamua kumtambulisha kwa cheo cha majukumu yake 'singo maza'"sikua na nia ya kumchezea tu mkuu
chaputa sikuondoka ila nilipunguza tu mahudhurioRudi nyumbani mkuu, CHAPUTA hujafukuzwa, uliondoka mwenyewe tena kwa mbwembwe. Ila bado wanakukaribisha mkuu.
unamaana nilishindwa kumkaza ipasavyo auwakaka sijui mupoje...umeshindwa kazi..waachie wakongwe
I think kuna sehemu ulipwaya..unaweza Gud on bed kwingine utoshunamaana nilishindwa kumkaza ipasavyo au
Pesaa hatoii huyooo..I think kuna sehemu ulipwaya..unaweza Gud on bed kwingine utosh
si hivyo mkuu Mara ya mwisho pes ya salon nmempa mmPesaa hatoii huyooo..
inawezekana nduguI think kuna sehemu ulipwaya..unaweza Gud on bed kwingine utosh