Ahaa!, kwasasa hakuna warranty maana hizi simu bado hazijaja officialy kwenye maduka ya Samsung.
Ni yale matolea ya India ambayo yamekuja kwa njia za Panya
Kwakua mm ntakuwa hapa mwanza kwa wiki 2, nimekubaliana na muuzaji hapa rocky city mall Endapo ikipa hitilafu ntarudisha au
Nikirudi Dar wana maduka yao mlimani city ntapeleka huko.
Yaani nimechukua kama kujitoa muhanga vile... hadi sasahiv sijapata tatizo lolote.