Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,720
- 2,393
Yani simu saa 3 kasoro moja imesha drain about 50% of the batt. energy unasema ni simu inayokaa na charge?Ni simu nzuri, inakaa na charge muda mrefu... pia ina bettery kubwa & RAM & Storage....display yake n infinix
View attachment 1064726
View attachment 1064728View attachment 1064729View attachment 1064730View attachment 1064731View attachment 1064732View attachment 1064733
Mtu unaweza kununua hizi simu kwa bei ya kawaida na usijute...
1. Galaxy M series(m30, m20, m10)
2 Xiaomi
3 Oppo
Tangu nimeitoa charge masaa 26 yamepita boss wangu.Y
Yani simu saa 3 kasoro moja imesha drain about 50% of the batt. energy unasema ni simu inayokaa na charge?
Mie nmeamka saa 1 nika unplug simu yangu till now iko hapa! Sony Xperia C3View attachment 1064805
Tunaomba ututajie bei yake na sehemu uliponunulia. Itakuwa umesaidia wengi waliovutiwa nayo.Ni simu nzuri, inakaa na charge muda mrefu... pia ina bettery kubwa & RAM & Storage....display yake n infinix
View attachment 1064726
View attachment 1064728View attachment 1064729View attachment 1064730View attachment 1064731View attachment 1064732View attachment 1064733
Mtu unaweza kununua hizi simu kwa bei ya kawaida na usijute...
1. Galaxy M series(m30, m20, m10)
2 Xiaomi
3 Oppo
Tunaomba ututajie bei yake na sehemu uliponunulia. Itakuwa umesaidia wengi waliovutiwa nayo.
Hiyo simu ni kiasi gan mkuu?Tangu nimeitoa charge masaa 26 yamepita boss wangu.
Kwa masaa 26 sijazima data + kuitumia sana.
Kama umesoma post yangu vizuri, sujalinganisha na na simu yeyote .. bali nimesema hii simu ni nzuri kwa price yake ni ya kawaida
Mkuu Tunaomba bei yake na utuambie umenunulia wapi ,Ni simu nzuri, inakaa na charge muda mrefu... pia ina bettery kubwa & RAM & Storage....display yake n infinix
View attachment 1064726
View attachment 1064728View attachment 1064729View attachment 1064730View attachment 1064731View attachment 1064732View attachment 1064733
Mtu unaweza kununua hizi simu kwa bei ya kawaida na usijute...
1. Galaxy M series(m30, m20, m10)
2 Xiaomi
3 Oppo
Nimenunu 560,000 (laki tano na elfu 60)Tunaomba ututajie bei yake na sehemu uliponunulia. Itakuwa umesaidia wengi waliovutiwa nayo.

Poa mkuuNimenunu 560,000 (laki tano na elfu 60)
Rock city mall - mwanza.
Kiuhalisia simu hizi zinauzwa bei pungufu ya hiyo laki tano.... sema mm nilikuwa sina namna baada kuhalibu simu yangu wa mwanzo.
Maana juzi simu yangu ilihalibika kabisa baada ya kuanguka kutoka ghorofani nikiwa napiga selfie ya mazingira ya zuwa victoria
Shukrani
Okay, Great! Vp kuhusu warranty? Ina 24 Smart Care kama matoleo mengine ya Samsung?Nimenunu 560,000 (laki tano na elfu 60)
Rock city mall - mwanza.
Kiuhalisia simu hizi zinauzwa bei pungufu ya hiyo laki tano.... sema mm nilikuwa sina namna baada kuhalibu simu yangu wa mwanzo.
Maana juzi simu yangu ilihalibika kabisa baada ya kuanguka kutoka ghorofani nikiwa napiga selfie ya mazingira ya zuwa victoria
Ahaa!, kwasasa hakuna warranty maana hizi simu bado hazijaja officialy kwenye maduka ya Samsung.Okay, Great! Vp kuhusu warranty? Ina 24 Smart Care kama matoleo mengine ya Samsung?
Hongera sana mkuuTangu nimeitoa charge masaa 26 yamepita boss wangu.
Kwa masaa 26 sijazima data + kuitumia sana.
Kama umesoma post yangu vizuri, sujalinganisha na na simu yeyote .. bali nimesema hii simu ni nzuri kwa price yake ni ya kawaida
Vip camera yakeNimenunu 560,000 (laki tano na elfu 60)
Rock city mall - mwanza.
Kiuhalisia simu hizi zinauzwa bei pungufu ya hiyo laki tano.... sema mm nilikuwa sina namna baada kuhalibu simu yangu wa mwanzo.
Maana juzi simu yangu ilihalibika kabisa baada ya kuanguka kutoka ghorofani nikiwa napiga selfie ya mazingira ya zuwa victoria
Nipe Elimu kuhusu hilo mkuu
Chukua M30 ina Super Amoled!